Wanaume wenzangu dalili 5 za mke aliyetoka kukusaliti

unazungumzia wanawake hawa hawa wa siku hizi au wa zamani?

-Kwanza hawana aibu hawa siku hizi, kwa hyo hatapepesa macho pembeni kamwe.

-pia atarudi akiwa keshaoga ananukia uturi(si unajua pochi zao wanabeba lotion nk?)

halafu hawakurupushani nguo wakiuza mechi, atazitoa in advance zirudi salama.
 
Mkuu hujakutana na jike lililokubuhu, anakuangalia macho makavu na busu utapata na mzigo utapewa vilevile, nenda bagamoyo uone!
 
Thumb up!
 
Tofauti ya wewe mwenye mke na hao jamaa wa nje ni kwamba wewe unakula kwa uhuru ila wao wanakula kwa wizi ila wote mnakula nyama ile ile.
 
tofauti ya wewe mwenye mke na hao jamaa wa nje ni kwamba wewe unakula kwa uhuru ila wao wanakula kwa wizi ila wote mnakula nyama ile ile.

tena hao jamaa wa nje ndio wanaofaidi kuliko hata we mwenye mwli wancheza sana rafu
 

Na wewe unaporudi nyumbani huku umetoka kumsaliti mkeo unaonyesha dalili gani??? ziandike nazo
 
Tofauti ya wewe mwenye mke na hao jamaa wa nje ni kwamba wewe unakula kwa uhuru ila wao wanakula kwa wizi ila wote mnakula nyama ile ile.
word up bro

pure and simple
 

Binafsi, nimewahi kama mara tatu tu kwenda guest house na mpenzi wangu wa zamani....tena mara zote hizo ni wakati tupo chuoni...kwahiyo at my age, naweza kuthubutu kusema kwamba sina uzoefu wa kutosha na mambo ya guest house. Hata hivyo, nasikia wazinzi wengi wanamalizia haja zao kwenye nyumba za kulala wageni a.k.a guest houses. My question kwenye hiyo point namba moja, Hivi guest houses nyingi si zinakuwa na maji mkuu?! Ina maana huko hawaogi hadi wakaoge pindi wanapofika home?! bana mwanamke msafi akifika home lazima atakimbilia maliwatoni kuoga hata kama hajatoka ku-do! si ajabu mtu amekutwa na cku zake bila kutarajia na anaamua kukimbilia kuoga pindi anapofika home na si ajabu hapo ndipo atakapoamua kuzisweka nguo zake kwenye kapu chafu (poin namba 2). By de way, hizo nguo zitakuwa zimechafuliwa na nini?! manake mimi na demu wangu tulikuwa tukifika tu, cha kwanza ni kutoa nguo na unaziweka kwenye kamba taratiiiiibuuuu, ikirudi mwilini wala hujui kwamba jamaa wanatoka kuvunja amri ya sita. Mkuu, hiyo ya kwanza na ya pili nahisi kama inaweza ku-apply zaidi vijijini ambako si ajabu watu wanabanjuana maporini ambaklo pia hakuna maji ya kujiswafi na godoro ni nguo ya mwanamke, lakini kwa mazingira ya mjini; i doubt!...mbaya zaidi, Sasa utawafanya watu waanze kuwa na pressure wakiona wake zao wanakimbilia kuoga mara wanapotoka kwenye mizunguko yao!!! Lakini sio issue, binafsi nasubiri nizeeke zeeke kwanza, ili hata nikiwa nashitukia kwamba waifu katoka kuvunja amri ya sita; nitakuwa nashukuru manake cku hiyo hatanisumbuasumbua kutaka!
 

....dahhh, sijui kwanini siku zote hizi mimi nilidhani nasdaz ni mwanamke, labda nilikuwa
nakuchanganya na yule ..."jaz",,,

...anyway, hiyo kukimbilia bafuni ni woga wao tu kwamba huenda bado
ana harufu ya janaba, au ya huyo mwanaume mwingine. Si wajua binadamu 'hunusa'
pia kama wanyama?
 
Huu utafiti ulifanyika wapi? na ulijumuisha wanawake wenye umri gani? na ambao wamekuwepo katika ndoa kwa muda gani? na matokeo hayo ni asilimia ngapi ya watu waliohojiwa au kufanyiwa utafiti?
 
Jameniii, kitu anacho penda mkeo weye uchukie? kweli unampenda! acha afanye hata ö! Kwani ina Makombo? mbona tuko hivi bana!
 
wewee ukiwakuta wa pwani hutajua hatakama katoka dakika kumi zilizopita, wao wamefunwa mpaka kuiba nje. haendi kuoga, habadili nguo, ukimuangalia usoni nae anakutolea macho kama paka, ukitaka mchezo anaenda kama kawa na wewe wala hutashituka kitu, wachabwana.
 
Kwanini akimbilie kuoga? Cku hzi self contained rums za kumwaga tu!

labda sijaelewa ulitakasema nini???
kwani hizo self contained rooms hawaendi kuoga au hizo za huko kwenu ni za nini????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…