Binafsi, nimewahi kama mara tatu tu kwenda guest house na mpenzi wangu wa zamani....tena mara zote hizo ni wakati tupo chuoni...kwahiyo at my age, naweza kuthubutu kusema kwamba sina uzoefu wa kutosha na mambo ya guest house. Hata hivyo, nasikia wazinzi wengi wanamalizia haja zao kwenye nyumba za kulala wageni a.k.a guest houses. My question kwenye hiyo point namba moja, Hivi guest houses nyingi si zinakuwa na maji mkuu?! Ina maana huko hawaogi hadi wakaoge pindi wanapofika home?! bana mwanamke msafi akifika home lazima atakimbilia maliwatoni kuoga hata kama hajatoka ku-do! si ajabu mtu amekutwa na cku zake bila kutarajia na anaamua kukimbilia kuoga pindi anapofika home na si ajabu hapo ndipo atakapoamua kuzisweka nguo zake kwenye kapu chafu (poin namba 2). By de way, hizo nguo zitakuwa zimechafuliwa na nini?! manake mimi na demu wangu tulikuwa tukifika tu, cha kwanza ni kutoa nguo na unaziweka kwenye kamba taratiiiiibuuuu, ikirudi mwilini wala hujui kwamba jamaa wanatoka kuvunja amri ya sita. Mkuu, hiyo ya kwanza na ya pili nahisi kama inaweza ku-apply zaidi vijijini ambako si ajabu watu wanabanjuana maporini ambaklo pia hakuna maji ya kujiswafi na godoro ni nguo ya mwanamke, lakini kwa mazingira ya mjini; i doubt!...mbaya zaidi, Sasa utawafanya watu waanze kuwa na pressure wakiona wake zao wanakimbilia kuoga mara wanapotoka kwenye mizunguko yao!!! Lakini sio issue, binafsi nasubiri nizeeke zeeke kwanza, ili hata nikiwa nashitukia kwamba waifu katoka kuvunja amri ya sita; nitakuwa nashukuru manake cku hiyo hatanisumbuasumbua kutaka!