SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,280
- 3,555
Note; ONLY FOR MEN
Natumai wote wazima
Tarehe 31/12 natimiza 20 years lakini kwanzia nikiwa na miaka 10 nimekuwa mraibu mkubwa wa ngono, punyeto na wanawake kiasi kwamba nimepoteza takribani pesa 400,000 kwenye ngono kwa hiyo miaka 10 kununua Malaya nilianza rasmi 1/1/2013
Sasaivi nipo chuo 1st year Nina malengo kwenye maisha lakini napenda Sana ngono Nina fantasy chafu hata siwezi kuziandika hapa nampenda Mungu Ila naona nikiendelea hivi sintofanikiwa kwenye maisha
Hivyo basi kwa wanaume wenzangu ambao mna umri 30+ wenye mafanikio na ambao hawana mafanikio naombeni ushauri wenu wa jinsi mlivyoishi from age 20-30 makosa mliofanya na kujutia kweli na jinsi mlivyocontrol hizi feelings kwa Hawa pussies.
[emoji2398]SIWASILISHI[emoji2398]