Wanaume wenzangu mliwezaje kupita kipindi cha balehe?

Wanaume wenzangu mliwezaje kupita kipindi cha balehe?

40,000 kwa mwaka. Means almost Tsh 800 kwa wiki au 3200 kwa mwezi. Mkuu hao malaya ulikua unanunua kwenye muvi au ulikua unakata magazeti?
Nimenunua Malaya 12 tu kwa hiyo miaka 10 hivyo piga mahesabu sio kila siku nilikuwa nanunua elewa basi
 
Fuata ushauri wa ndugu mmoja hapo juu kwamba ukikua utaacha
Lakini muombe Mungu utakapokuja kuacha uwe salama kiafya

Nilipokuwa mvulana naweza kusema nilikuwa namiliki kijiji cha warembo
Na wakati huo ndiyo nimepewa chaneli ya pesa roho inaniuma mpaka leo singetakiwa kuishi maisha ninayoishi leo

Nashukuru Mungu kiafya niko poa na nimiujiza tu naona
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asa 400000 mkuu ni kitu ya kuandikia uzi ushauri wangu ongeza kasi ya kutafuta pesa ule pisi kali za gharama...
 
Ni laki nne hihii yenye sifuri 5 au ulimaanisha million 40 mkuu?
 
Kitakacho kuokoa ingia website hii NOFAP google soma na uelewe ingia pia YouTube channel angalia NOFAP baada ya hapo ni email au inbox me [emoji392] [emoji3576][emoji396][emoji396]
 
Alafu miaka kumi ulikua umeshabalehe au punyeto ulifundishwa na mtu pili ulikua na semeni au ulikua unaharibu tu ubongo na mishipa may be we muongo cha mwisho acha kutazama ngono soma pia DOPAMINE
 
Back
Top Bottom