Wanaume wenzangu mnafeli kuendekeza marafiki kuliko wapenzi wenu

Wanaume wenzangu mnafeli kuendekeza marafiki kuliko wapenzi wenu

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Jamii yetu inapitia kipindi kigumu cha kucopy na utandawazi ,technology etc.Hii imepelekea janga kubwa la Vijana hususani wa kiume (na baadhi wakike ) wenye mahusiano kuiga hulka za vijana wa maghalibi kupenda kutumia muda wao na marafiki (Washkaji /Masela) zaidi ya wapenzi wao .
Marafiki ni muhimu sana maishani kwa wakristo soma hapa:
MIT. 18:24
Ajifanyiaye rafiki wengi ni kwa uangamivu wake mwenyewe; Lakini yuko rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu.

Yaani kwenye marafiki zako 10 ,marafiki zako kikweli wachache sana na hao huambatana nawe kuliko ndugu ,Wanaume wenzangu kuweni na muda na shemeji zangu hao kuzidi sisi marafiki zenu maana maisha yako na urithi wako ni wampenzio mimi ni mpita njia tunaepita njia moja ila mpenzio yuko na wewe ,mi nikitajirika haihusiani na ww nakusaidia hela ya kula tuu na bia ila mkeo ukila kisamvu atakula nawe mda huo mm rafiki yako ntakuwa club na marafiki zako wengine tukikusema ulivyochoka .

Epuka kuwa na magroup ya bata sio wasiwe rafiki zako ila isiwe guarantee kila jmos lazima ukae nao big noo wambie straight weekend hii natoka na wife nakuhakikishia watakusema mwanzo ila watazoea kuwa huyu jamaa familia yake kwanza .

Mwanaume kidini na hata kiasilia ni kiongozi wa familia au mahusiano hatutarajii kiongozi ambae yuko busy na ratiba mara za mabendi maclub sijui ma karaoke hata kama we mnywaji hakikisha nusu sio wanywaji ,badala ya kutoka na kundi la marafiki unaenda kuchezea laki beba mke na madogo mkakae hotel kubwa waagizie msosi kaa nao hadi saa nne we na wife wine chupa moja saanne unaanza kukamua shemeji na hutoki halafu ni jmosi marafiki wakiuliza wambie nimetoka na wife sio ooh leo nadozi mara wife anaumwa LOVING YOUR WOMEN IS A SIGN OF MATURIY ,CONTROL AND RESPONSIBLE.

Sababu ya kuandika hivi ni baada ya kuwasoma marafiki zangu wenye 30 to 45 namna wanavyotawaliwa na marafiki kupitiliza ,sikwambii uwe boya la kushinda kila saa na mkeo ia mpe nafasi zaidi ya marafiki na iwe wazi kuwa jioni ya xmas au idd unakaa na wife na watoto.

Mkipata muda sikilizeni wimbo huu

Same Ol’ G uloimbwa na Ginuwine
 
Inawezekana hao wanaawake ndio wanawakimbiza nyumban.
 
Ujumbe mzuri sana lakini fanya utafiti kwa nn mda mwingi anautumia na washikaji inawezekana nyumba haikaliki anatafuta faraja kwa washikaji
 
hujui ndoa wewe kuna wakati unachelewa kurudi maksudi tu ukute amelala so nikitoka na washkaj na refresh maana home hakukalili kelele nyingi
 
hujui ndoa wewe kuna wakati unachelewa kurudi maksudi tu ukute amelala so nikitoka na washkaj na refresh maana home hakukalili kelele nyingi
Na wake 2 na nina good 12 years .Badala ya kutafuta masuluhu rahisi tafuta mazito kama makelele usiyoyamudu sa kwa nn ulimuoa?
 
Back
Top Bottom