Mkuu Mankey Snipes Pole sana kwa hayo matatizo yako.Je imeshakutokea mara ngapi namna hivyo? una wapenzi wangapi? umeowa? una miaka mingapi? ukilala je huwa unaoota kitu gani ndani ya usingizi wako? ukitaka maelezo zaidi nitumie Barua ya pepe Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.comNikiwa na mpenzi wangu chumbani wakati namuandaa ili tuanze kusex ghafla linatokeaga tukio la kende(pumbu) zangu kuuma kama mtu anazibinya, baadhi ya marafiki walinambia kwamba nina shetani mahaba
naombeni msaada kwa hilo JF
Vipi mkuu hujambo lakini?MziziMkavu saidia hii kijana
mmh! pole mwaya.
hebu niambie je ukibanwa na msuli hiyo unaweza tena kuendelea na game ama ndo inaishia hapo??
je ikiachilia huwa unatokwa na majimaji mepesi??
je sehem ya chini ya tumbo lako huwa haikuumi mara kwa mara?
hii hali imenikuta sana Kwani ni tatizo? Ni tatizo gani?