wanaume wenzangu naomba mnisaidie hapa

wanaume wenzangu naomba mnisaidie hapa

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,165
Reaction score
16,791
Nikiwa na mpenzi wangu chumbani wakati namuandaa ili tuanze kusex ghafla linatokeaga tukio la korodani zangu kuuma kama mtu anazibinya, baadhi ya marafiki walinambia kwamba nina shetani mahaba

naombeni msaada kwa hilo JF
 
mmh! pole mwaya.

hebu niambie je ukibanwa na msuli hiyo unaweza tena kuendelea na game ama ndo inaishia hapo??
je ikiachilia huwa unatokwa na majimaji mepesi??
je sehem ya chini ya tumbo lako huwa haikuumi mara kwa mara??

mods peleka huu uzi JF DOCTOR ili apatiwe ushauri wa kit
 
Shark's Style hapo umeongea watu wanajua me natania
 
Nikiwa na mpenzi wangu chumbani wakati namuandaa ili tuanze kusex ghafla linatokeaga tukio la kende(pumbu) zangu kuuma kama mtu anazibinya, baadhi ya marafiki walinambia kwamba nina shetani mahaba

naombeni msaada kwa hilo JF
Mkuu Mankey Snipes Pole sana kwa hayo matatizo yako.Je imeshakutokea mara ngapi namna hivyo? una wapenzi wangapi? umeowa? una miaka mingapi? ukilala je huwa unaoota kitu gani ndani ya usingizi wako? ukitaka maelezo zaidi nitumie Barua ya pepe Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

MziziMkavu saidia hii kijana
Vipi mkuu hujambo lakini?
 
Back
Top Bottom