Wanaume wenzangu njoeni tujadiliane huu ushauri wa Roma tuende nao au tuachane nao

Imeshawahi kunitokea hiyo, nilichukua namba halafu nikakausha kama one week. Siku nampigia akaniambia alikuwa anaisubir sana simu yangu, mpaka ilifkia hatua kumbe alikuwa anatamani tuonane ili aniulize kwanini simtafuti.
Kilichofuta baada ya hapo.......

Wale wazee wa kula tunda kimasihara nadhani watakuwa wamenielewa.
 
Dah kweli ndio maana watu wanaumemizana kwenye mapenzi. Yote hiyo ni ego tuu hamna lolote. Sasa kama demu umemfeel unaanzaje tena kuvunga. Wee mwaga maneno unaweza kula tunda siku ya kwanza hiyo hiyo. Unajichelewesha tuu bro
 
Hii mbinu imekaa kisaikolojia zaidi na inafanya kazi kwa %kubwa sana..
 
ushamba, sasa kwanini apost akati anajua hadi madem wanaview... Izo techniques tunazogo ma-badboys na sio hiyo tuu, kuna nyingine hiyo, unajikuta unatunukiwa kabisa na mwanamke huku akijua kabisa humuoi wala nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…