Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Kuna wajinga wanashindwa kula na kunywa kwa ajili ya pisi hizi mbovu za huku kwetuFanya juu chini usafiri hata kidogo ufike hapo rwanda kama uwezi kuvuka bara la afrika.ila kuna nchi unaweza kuwa na pisi kali mpaka ukajiuliza mbona wapo huku.
Kuna haka kisiwa cha cyprus yani unaweza kubaki huko huko kama mtu wa totozi. twende urusi huko yani na baridi la kule unaitwa hot man kama umetoka afrika.
Huko USA yani ni wewe mwanaume mwenzangu unaona kwa mkataba wa escro
nenda saudia kule vipo vya moto kama mkaa kuleKwahiyo tutembee kwa ajili ya wanawake tu au sio mkuu, mbona tunasikia vipoch manyoya vyao vya baridi, tofauti na vya kina mwajuma
Sasa,hawa wa hapa kwetu "kijiji cha ujamaa" tunawaachia akina nani?Hatutawaacha na sonona kweli?Tulitazame hili.Fanya juu chini usafiri hata kidogo ufike hapo rwanda kama uwezi kuvuka bara la afrika.ila kuna nchi unaweza kuwa na pisi kali mpaka ukajiuliza mbona wapo huku.
Kuna haka kisiwa cha cyprus yani unaweza kubaki huko huko kama mtu wa totozi. twende urusi huko yani na baridi la kule unaitwa hot man kama umetoka afrika.
Huko USA yani ni wewe mwanaume mwenzangu unaona kwa mkataba wa escro
mi ni baharia wa mda mrefu na familia ila penseli yangu inafanya kazi kuchongea wanawake wa kimataifaUnaweza kutobana ila future za kimaisha haaa ! Yani ukute huyu ndio kijana mnawaza aje kubadikisha Tanzania Ovyo kabisa
Kwa hiyo tumuombee maji ya kunywa?Hapo ndiyo mawazo yake yalipoishia msimulaumu sana,sanasana mumkumbuke katika maombi.
maombi ombea ccm iliyoshindwa kukusaidia kwenu na ukoo wenuHapo ndiyo mawazo yake yalipoishia msimulaumu sana,sanasana mumkumbuke katika maombi.
ushukuru sana ccm kuwa ina kuzururisha hizo sehemu ulizotaja hapoKati ya hizo hujawahi fika hata nchi moja. Unazurula Tandahimba na Kilimahewa.
Kwani,shetani si ndiye alimwambia Yesu atampa mali zote za dunia azimiliki kwa kumsujudia?Lazima anaijua dunia kwa milima na mabonde yake.Kati ya hizo hujawahi fika hata nchi moja. Unazurula Tandahimba na Kilimahewa.
usimlaumu inawezekana hizo sehemu ndio alipo hata dar hapa fahamu anapasikia kwenye bongo movieKwani,shetani si ndiye alimwambia Yesu atampa mali zote za dunia azimiliki kwa kumsujudia?Lazima anaijua dunia kwa milima na mabonde yake.
AiseeeKuna wajinga wanashindwa kula na kunywa kwa ajili ya pisi hizi mbovu za huku kwetu
Ungekuwa umewahi fika hizo nchi usingeongea hivi. Sema wewe kisa unawaona kwa TV na hujawahi waona live ndio maana unawapaisha. Uko Cyprus hujawahi fika, si ajabu hata pass huna. Mtu mwenye safari za nje za maana haanzishi mada za ushubwada kama wewe hapa.usimlaumu inawezekana hizo sehemu ndio alipo hata dar hapa fahamu anapasikia kwenye bongo movie
SASA YANA FURAHISHA VIPI? HAWA KATAA NDOA TUWASAIDIE WAKINA DRONEDAKE