Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,139
Mnaoponda Chips hamjui kitu chochote. Tena nyie ndo mabingwa wa kupiga deshi, mara nyingi mnakula mlo mmoja kwa siku. Au mnajikuta mnakula kwa mama lishe wali maharage wa 1000 au ugali dagaa/utumbo wa 1500. Chips ni chakula chenye heshima yake, utakikuta hata katika mahoteli ya kifahari, na bei yake ni ya kifahari. kaulizieni dona matembele kama kuna hiyo menyu. Wote fikra zenu duni sana