Wanaume wenzangu tupunguze Chips-Viazi, tutafedheheka !

Mnaoponda Chips hamjui kitu chochote. Tena nyie ndo mabingwa wa kupiga deshi, mara nyingi mnakula mlo mmoja kwa siku. Au mnajikuta mnakula kwa mama lishe wali maharage wa 1000 au ugali dagaa/utumbo wa 1500. Chips ni chakula chenye heshima yake, utakikuta hata katika mahoteli ya kifahari, na bei yake ni ya kifahari. kaulizieni dona matembele kama kuna hiyo menyu. Wote fikra zenu duni sana
 
mbona tukiwaalika wake zenu tule nao chips mnawatandika makonde na kuwapa talaka? sisi wala chips hatuna kabisa nguvu za kiume tuacheni tule chips na mashemeji zetu ambao ni wake zenu.
 
fikra zao duni kabisa
 
Kwani chipsi c viazi tu vya kawaida..kwanini viwe hatari kwa mwanaume.
 
We toka uzaliwe hujawahi kula chips.
 
Kwan kijana anatakiwa kula chakula gani,??? Kama issue ni chipsi mayai mbona ulaya kuna vijana na hakuna ugali dona
 
mbona tukiwaalika wake zenu tule nao chips mnawatandika makonde na kuwapa talaka? sisi wala chips hatuna kabisa nguvu za kiume tuacheni tule chips na mashemeji zetu ambao ni wake zenu.
fikra zao duni kabisa
Umeona hapo mkuu? Chips tule sisi kulalamika walalamike wao. Hahhaaaa😀😀
 
fikra zao duni kabisa
Mibongo bana kwa kupenda kutafuniwa..basi hapo ukute nyie ni watangazaji wa redio pendwa ya fiesta chipsi

Is High Cholesterol Harming Your Sex Life? | Fox News

9. French fries and potato chips. These are made from the unhealthiest fats, hydrogenated vegetable oils. Rich in trans-fats, these increase LDL or bad cholesterol and reduce HDL or good cholesterol.

10. Eggs. Eggs are actually good for your health but not if you have high cholesterol. Avoid egg yolk and eat only the white of an egg if you have been diagnosed with high cholesterol levels.

Lowering cholesterol is all about making healthy choices. Remember that home cooked food using natural and minimally processed ingredients is best for lowering cholesterol in your body.
 
Kwan kijana anatakiwa kula chakula gani,??? Kama issue ni chipsi mayai mbona ulaya kuna vijana na hakuna ugali dona
sasa braza unavyoambiwa tatizo kubwa la wazungu ni kula junky foods na uzembe ulidhan hizo junky foods ni nini
 
Kwan kijana anatakiwa kula chakula gani,??? Kama issue ni chipsi mayai mbona ulaya kuna vijana na hakuna ugali dona
Umenena kweli. Hizi chipsi sisi tumeiga tu kutoka ughaibuni. mabingwa wa chips wafaransa bwana. Mtu akila chai, mkate na mayai hawaoni tatizo. Mchana au usiku akara viazi vilivyokaangwa au kuchemshwa au wali uliochanganywa na viazi hawaoni kama wamekula viazi ma mayai sawa tu na aliyekula chipsi na mayai. tena pengine wa chipsi kaongeza aina nyingine ya chakula - kuna kachumbali/salad na nyama au samaki
 
kibongo futa lina chorestral,mayai ya kisasa,kachumbali ya kugusia ...hapa ujue hatujaongelea aliyekula viazi vya kupika au mayai ya kienyegi...
hizi baked foods sio nzuri kwa afya..dah kweli sayasni kimu wengi imetupitia mbali
 
Unajua kwann watu wanakula sana chips town mkuu then me sioni kama kuna tatizo viazi mviringo kukaangwa lkn viazi vitamu vikikaangwa hakuna shida
 
sasa braza unavyoambiwa tatizo kubwa la wazungu ni kula junky foods na uzembe ulidhan hizo junky foods ni nini
Sasa tofautisha wazungu na waafrika kiafya na kiakili ndo utajua kama kuna shida au vepee
 
Kwenye maandishi mekundu unamaanisha nikiandaa chips mayai nyumbani hakuna tatizo? au nikipika viazi kwa namna nyingine - mfano kuchemsha, na kuchemsha mayai nikala nitakuwa nimekula kitu chenye contents tofauti na aliyekula chips mayai?
 
kibongo futa lina chorestral,mayai ya kisasa,kachumbali ya kugusia ...hapa ujue hatujaongelea aliyekula viazi vya kupika au mayai ya kienyegi...
hizi baked foods sio nzuri kwa afya..dah kweli sayasni kimu wengi imetupitia mbali
Baked food na mayai ya kuku wa kisasa wanatumia sana wazungu, na wana afya nzuri tu
 
Kwenye maandishi mekundu unamaanisha nikiandaa chips mayai nyumbani hakuna tatizo? au nikipika viazi kwa namna nyingine - mfano kuchemsha, na kuchemsha mayai nikala nitakuwa nimekula kitu chenye contents tofauti na aliyekula chips mayai?
yeah broo
hiyo ndo point
chipsi mayai sijui inaingia kwe junkie foods
haya ni mafried food ya kukaanga yanaweza mafuta mengi mwilini af mbaya zaidi tunashushia na bia baridi ndo kabisaa
basi vijana tukipata vitambi tunaona tumeotea maisha kumbe shida tu
so tujitahidi kuchemsha maviazi nn weka nyama yako pale kati tengeneza supu...kiepe yai iwe juu juu sana sio kila siku
Health Basics: Why are fried foods terrible for your health?
 
Baked food na mayai ya kuku wa kisasa wanatumia sana wazungu, na wana afya nzuri tu
we jamaa your not serious...jaribu fanya tena reserch ujue tatizo kubwa la wazungu ni nini na kwanini magonjwa ya moyo na kansa yamekua juu
 
Kwa hiyo mkuu utaniambia hata nyama au samaki wa kukaangwa ni wabaya kiafya, sawa. lakini kwa nini wala chips pekee ndo wapigiwe kelele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…