Wanaume wenzangu tupunguze Chips-Viazi, tutafedheheka !

Uko sahihi mkuu.
 
Aisee kuna siku nilimwona mjeshi tena kavaa gwanda anakula kiepe yai, nilishangaaa sana kiukweli.
 
Ni chakula sahihi tu kwa mtu yeyote.

Unapokula zinaingia mwilini huvunjwavunjwa hatua kwa hatua during respiration,na hatimaye kuzalisha energy in form of ATP kama cabohydrate nyingine.

Tatizo liko wapi?.

umenifurahisha sana mkuu...
 
ah ah mentality za kusema kwa kua wazungu wanafanya basi poa tuπŸ™„πŸ™„πŸ™„...kwan brother pale kinondoni wale jamaa wanapendelea ugali dona na maharage eti eehπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Si mwenyeji sana na mitaa ya kino ila kuna sehemu nilikuwa nakutana na rika tofauti tukila pweza, na kuna sehemu ni maarufu kwa upikaji wa chips mpaka night kali wateja wakuu ni wanaume sababu kuna huduma zaidi ya vyepe
 
Ni chakula sahihi tu kwa mtu yeyote.

Unapokula zinaingia mwilini huvunjwavunjwa hatua kwa hatua during respiration,na hatimaye kuzalisha energy in form of ATP kama cabohydrate nyingine.

Tatizo liko wapi?.
respiration?
sijui nilisoma Zamani sana....
 
Aisee kuna siku nilimwona mjeshi tena kavaa gwanda anakula kiepe yai, nilishangaaa sana kiukweli.
Acha u-clouds ulishangaa nini sasa pale alikula mboga hakutaka kula kingine
 
😎😎😎nmekuelewa sana kiongozi nadhan umefunga hoja😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…