Wanaume wenzetu Msiwape uhuru usio na mipaka wake zenu. Majuto ni mjukuu

Ni kweli lakini mbona wewe mkuu ulificha hio siri hukumwambia mwamba alimpa mimba ama browako je hio ni sawa?
Mkuu ni sawa na pengine sio sawa.

Ujue ukiruhusu uhuru kupindukia na ukisasa lazima uvune tu matokeo hasi hii ni lazima!!

Siwezi kumwambia kwanza lazima hapo ndoa ife na lazima anitaje kuwa fln amesema umezaa na Fulani!

Isitoshe hajawahi kutuomba ushauri.
Yeye Kwa akili yake anajua kumuacha hivyo mwanamke ni ukisasa na sisi kwakwe anatuona ni washamba tuliopitwa na Wakati. Ukweli yule mwanamke ni Malaya.

Niliwahi mtongoza Facebook Kwa account fake na picha fake akaniambia hajaolewa!!! Tukapanga tukutane mahali hapo kashanitumia no yake japo nilikuwa nayo Tyr na Huwa tunawasiliana kawaida.

Ilibidi Nami nikuonyeshe ndg mmoja mkubwa sana wa makamo sawa na baba yetu tu. Akasema Fulani yeye kayataka mwenyewe na hapo na Bado.

Kwa kifupi mkuu ukipanda mchicha kamwe huwezi vuna matembele.

Yule mtumishi Kwa maelezo yangu alikuja mwenyewe kunambia tumfuate mke wake kwao natukasuruhishe ndipo nikakata na kumomba nimpigie simu kama kesi ndo hiyo tu ikawa hivyo
 
Binafsi nimefocus tu na hiyo picha ya kiboga mtoto.Sema hizo story ni common sehemu zenye migodi.Wachimbaji wanagongewa na kinyume pia ni sawa.

Huyo mtumishi atakuwa anafanya kazi mgodini si ndio?
Au sio?
 

Wapo ambao wanavaa Magauni ya Heshima sana, wanaima kwaya, na Biblia ila wanapigwa na wanaume 4, mmoja wapo my 20 year x wife
 
Ni bro yule. Hii nimauaji maana siku akitonywa tu Ile sura ya Msela ataiona vilevile bila kuuliza mara2
Jamaa yangu mmoja huwa anasema mtoto kufananishwa sura ni suala la kisaikolojia, yaani siku ukiambiwa kuwa mtoto sio wako ndio unaanza kuona hata sura hamfanani ilhali siku nyingine ulikuwa unaona mnafanana😄😄😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…