Wanaume wenzetu Msiwape uhuru usio na mipaka wake zenu. Majuto ni mjukuu

Jamaa yangu mmoja huwa anasema mtoto kufananishwa sura ni suala la kisaikolojia, yaani siku ukiambiwa kuwa mtoto sio wako ndio unaanza kuona hata sura hamfanani ilhali siku nyingine ulikuwa unaona mnafananaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‚
Hii nikweli kabisa.
 
Huyo malaya anatumia jina gani Facebook?πŸ˜€
 
Uko sahihi mwanamke hutakiwi kumwacha awe huru kupita kiasi. Ukimwacha tu utaambulia majanga au atakuua.

Nina mfano wa jamaa mmoja anafanya biashara ya nguo mkewe ni mwalimu. Yaani jamaa hata hamfuatilii aise demu Ana matukio hatari. Usiku yupo online hadi saa 9 usiku. Anaweza toka kwenda kumegwa wala hana hata habari. Wanaume tujitahidi kuwaweka wake zetu busy. Wape shughuli za kufanya. Hata kama za jioni. Jitahidi ujue mkeo kila dk yuko wapi anafanya nini. Awe anakuaga kila hatua. Na fuatilia ujiridhishe. Hakikisha mkeo unajua siku hiyo kavaa chupi rangi gani. Mtakuja kunishukuru. Ukimwacha loose atakusubotage. Kumbukeni mwanamke hafanyi mapenzi kwa hisia kama mwanaume. Mwanamke anafanya mapenzi na mtu aliye mfeel. Mwanamke hana uwezo wa kupenda watu wawili. Ukiona kafanya mapenzi na X ujue Y kisha mwacha. So ukiona anafanya mapenzi na mtu mwingine zaidi yako jua wewe alishakuacha kitambo sana. Ila yupo tu kutimiza sheria ya ndoa. Mapenzi kwako yameisha. Akiona kwako unakuwa kikwazo atakwandalia namna ya kukuondoa kistaarabu ikiwa ni pamoja na kukulisha vyakula vizuri lakini visivyo faa ili unenepe upate pressure na Sukari ufe. Wanaumeeee take care πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hahaha
 
Kama ni story live ama la ni nzuri sana yafaa kila kijana anayetarajia kuoa aisome.Ndo maana vitabu takatfu vinasema "wanaume waishi na wake zao kwa akili". Mwanamke anaamini mwaname hakosi hela na akikosa kahonga.very sad
 
Uhakika
 
Kama ni story live ama la ni nzuri sana yafaa kila kijana anayetarajia kuoa aisome.Ndo maana vitabu takatfu vinasema "wanaume waishi na wake zao kwa akili". Mwanamke anaamini mwaname hakosi hela na akikosa kahonga.very sad
Hii ni kweli mkuu mimi yote haya nayapata na kuyaona kwa sababu naishi na watu vizuri! kwa watu kuna siri sana wee jichangnye tu usiwe na makuu utasikia na kuona mengi sana.

Wengi wa wananume wanajua kumpenda mwanamke wake basi ni kumpa uhuru wote yaani anaona akimbana basi hamtendei haki kumbe hivyo vyote ni vitu tofauti hata yeye anapoolewa anajua kabisa anakwenda kuwa chini ya himaya ya mtu fln but akikuta free anaona kumbe hata kwa wazazi wake alikuwa amebanwa kuliko hata kwa mme wake ndo anajiachia ...

Ataanza na nguo za mitego tego akikujaribu wewe uta react vipi akiona mseleleko anapandisha level zaidi.

Ebu mwambia siku moja "SITAKI NGUO ZA KIKAHABA HAPA" utaona hata kaa azivae na atazigawa ama kuuza bila hata kukuuliza
 
Unaonekana Kuna Vitu Umeviacha Ungetiririka tu Wadau Wapate Kuamka
 
Ndefu ila nimeisoma yotee, umeongea ukweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…