mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
wewe utakuwa mweupe maana una akiliπIla watu wako so insecure na inferiority.
Wakisifiwa Dark na Black color, basi watu wote winja winja na hae hae, full shangwe.
Ila wakisifiwa Light na melanin color, watu wote nongwaaaa na mazabe.
Jamani kila mtu ana haki ya kusifia apendacho, Lol
ππππ
ππππwewe utakuwa mweupe maana una akiliπ
Nikimtukana unalalamika Lamo acha ukorofi, si umejionea lakini anavyowachamba na mademu zenu kuhusu michupi yenu..!! πΉπΉWewe sio mweupe, ni mweusi. Ni kwamba tu una rangi ya chai maziwa. Labda kama wewe ni mzungu(caucasian).
Halafu hayo mambo ya rangi ya ngozi hayana maana mkuu, dunia inapambana kuondokana nayo.