Mm n mweupe ila weupe wangu umechakaa hauna nuru ila mti ni mweusi kiasi πMkaka mweupe mimi hapana!
Wadada wengi tunapenda wanaume weusi sababu tunataka mti mweusi,
Mti ukiwa mweupe sijui pink tunaona huyu jamaa hayupo serious na hii mechi.
Sharti la nyoka awe mweusi tunaona Cobra huyu hapa!
Sura imechachuka ? Kaaah wanawake mnamaneno ya kero sana hii maanake nini we mmamaKaka mkavu wewe!! Hapo usikute una sura imechachuka km ya wale waliokuwa wanalalamika madanguro kufungwa π€£π€£π€£
Weka picha tuone πππMm n mweupe ila weupe wangu umechakaa hauna nuru ila mti ni mweusi kiasi π
Sasa mti mweusi kiasi ndo nini!Mm n mweupe ila weupe wangu umechakaa hauna nuru ila mti ni mweusi kiasi π
Yan sio mweupe wala sio mweusi πSasa nweusi kiasi ndo nini!
Mkuu upake Superblackπ
Yessss. Kuna barua hapo dm. Sio ndef saaaana ni just for " Expression of interest".Mkaka mweupe mimi hapana!
Wadada wengi tunapenda wanaume weusi sababu tunataka mti mweusi,
Mti ukiwa mweupe sijui pink tunaona huyu jamaa hayupo serious na hii mechi.
Sharti la nyoka awe mweusi tunaona Cobra huyu hapa!
Yaani unakaribiwa na pepo la umasikini unaita ngekewaSisi wanaume weupe tuna kingeke cha kupendwa sana na warembo!!
Mimi kila mwanamke huwa anatamani kuwa na mimi
Hivi wakuu wanaume weupe huwa tuna nini?[emoji23][emoji23]
Nishaombwa na wanawake kibao wanizalie mtoto eti wanataka kuchanganya damu.
Kila mahali ukienda au ukifanya jambo hata ukikosea unaonekana innocent usiye na kosa kwasababu muonekano unakuonyesha upo na uhb na vile mi mweupe daaaah
Hivi ni mimi tu au na wanawaume ambao ni weupe na handsome nao wanakumbana na hii hali ya kutongozwa na kupendwa na wanawake?
Nikimtongozaga mwanamke huwa hachomoi kabisa..
Acha bangi mshikaji wangu πWeka picha tuone πππ
Atakuja bwana mmoja hapa Utaambiwa tafuta helaaa wewe πππππNinavyojua mwanaume warefu ndiyo wanaongoza kupendwa
Mimi ni mrefu ila siyo mweupe pia darasani nilikuwa na akili sana, ni kweli wananipenda sana ila mimi nipo busy sana na maisha yangu.
πunatia huruma! Utapata anayependa mti wa maji ya kundeYan sio mweupe wala sio mweusi π