Wanaume weupe na kingeke cha kupendwa na wanawake!!

Wanaume weupe na kingeke cha kupendwa na wanawake!!

Sisi wanaume weupe tuna kingeke cha kupendwa sana na warembo!!

Mimi kila mwanamke huwa anatamani kuwa na mimi

Hivi wakuu wanaume weupe huwa tuna nini?[emoji23][emoji23]

Nishaombwa na wanawake kibao wanizalie mtoto eti wanataka kuchanganya damu.

Kila mahali ukienda au ukifanya jambo hata ukikosea unaonekana innocent usiye na kosa kwasababu muonekano unakuonyesha upo na uhb na vile mi mweupe daaaah

Hivi ni mimi tu au na wanawaume ambao ni weupe na handsome nao wanakumbana na hii hali ya kutongozwa na kupendwa na wanawake?

Nikimtongozaga mwanamke huwa hachomoi kabisa..
Mnatongozeka
 
TUNAPIGWA!!!! Mwandishi jamaa black lazima
Mimi nina wasiwasi na weupe huo ambao anauzungumzia ilhali naye ni black kama Sisi. Huu weupe wa kuchonga ili kushindana na KE unaleta sintofahamu katika hiki kizazi cha kidijitali. Akishajikoboa tu basi huwaona wenziwe kama si binadamu vile.
 
Mkuu,
Kuepusha huu mvutano na mtifuano mkali ni bora utuwekee na picha hata kama ni za kucopy toka ulaya na masharik ya mbali....m
Weka picha tuone 😂😂😂
Screenshot_20231201-175549.png
 
Back
Top Bottom