Wanaume weupe na kingeke cha kupendwa na wanawake!!

Nimezoea kusikia wanawake wakisema
"Nataka mwanaume mrefu, dark/black mwenye hofu ya Mungu na mtafutaji".
Sasa wewe sijui hao unaokutana nao ni wapi?
mimi ni mwanaume mweusi. ni mtu mzima, nawajua wanawake sana. ukiona mwanamke anampenda mwanaume mweupe, ujue anatafuta tu mbegu ya kuzaa watoto wazuri, ila mwanaume wake wa moyoni ni mweusi au wa kawaida tu. weupe huwa wanachukuliwa kama mayai na legelege. this is according to them nilivyowasoma miaka yangu mingi ya kuwa na wanawake.
 
Wafupi vs Warefu
wenye pesa vs mafukara
Weusi vs weupe
Mandingo vs vibamia
Six packs vs vitambi
Mbio ndefu vs mbio fupi

Ukifuatilia comments za hizi ligi ni rahisi kujua insecurity ya kila anaecomment

Ila tutafanyaje, Ngoja wafu muendelee kuzikana
 
Weusi siku zote hutoa hisia ya power Ila weupe hutoa hisia ya purity ndio maana toka enzi na enzi wanaume weusi huonekana more masculine and powerful kuliko weupe. Hivyo, weusi huonekana kama wanaweza kutoa security ambayo wanawake wengi huitafuta.

Ila kwenye masuala kupenda yote hayo hayajalishi maana kila binadamu hupenda vitu tofauti Ila kwenye kutamaniana, hivyo vigezo ndio huingia unless wanawake wenyewe wathibitishe tofauti
 
Wanawake wengi wa kimaskin wanapenda Sana wanaume weupe ila sisi matajiri tunawachukia hata Kaka zetu weupe
 
Wanawake weusi hupenda wanaume weupe, ila Wanawake weupe hawapendi mwanaume mweupe..

Sisi wanaume weusi tunakula Pisi Nyeupe na nyeusi Kwa pamoja.
 
Man down,I repeat one man down.do you copy?
Man down this is alpha over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…