Mhm huwajui wanawake wewe....ni warongoo hao usiamini maneno yao kabisaaaaa.Nimezoea kusikia wanawake wakisema
"Nataka mwanaume mrefu, dark/black mwenye hofu ya Mungu na mtafutaji".
Sasa wewe sijui hao unaokutana nao ni wapi?
Hawajielewi hawa...wao kidume akiwa na hela tuu basi vigezo vingine vyote wanaweka pembeniWanawake utawasikia nataka mwanamme mweusi alafu kwenye mtoto anataka azae mtoto mweupe
Hongera sana. Kwa urembo huo siyo wanawake tu hata sisi wanaume rijali unatuvutia!Sisi wanaume weupe tuna kingeke cha kupendwa sana na warembo!!
Mimi kila mwanamke huwa anatamani kuwa na mimi
Hivi wakuu wanaume weupe huwa tuna nini?[emoji23][emoji23]
Nishaombwa na wanawake kibao wanizalie mtoto eti wanataka kuchanganya damu na wapate mbegu yangu na copy yangu[emoji1320][emoji1320]
Kila mahali ukienda au ukifanya jambo hata ukikosea unaonekana innocent usiye na kosa kwasababu muonekano unakuonyesha upo na uhb na vile mi mweupe na mrefu daaaah
Hivi ni mimi tu au na wanawaume ambao ni weupe na handsome nao wanakumbana na hii hali ya kutongozwa na kupendwa na wanawake?
Nikimtongozaga mwanamke huwa hachomoi kabisa..
MmhhSisi wanaume weupe tuna kingeke cha kupendwa sana na warembo!!
Mimi kila mwanamke huwa anatamani kuwa na mimi
Hivi wakuu wanaume weupe huwa tuna nini?[emoji23][emoji23]
Nishaombwa na wanawake kibao wanizalie mtoto eti wanataka kuchanganya damu na wapate mbegu yangu na copy yangu[emoji1320][emoji1320]
Kila mahali ukienda au ukifanya jambo hata ukikosea unaonekana innocent usiye na kosa kwasababu muonekano unakuonyesha upo na uhb na vile mi mweupe na mrefu daaaah
Hivi ni mimi tu au na wanawaume ambao ni weupe na handsome nao wanakumbana na hii hali ya kutongozwa na kupendwa na wanawake?
Nikimtongozaga mwanamke huwa hachomoi kabisa..
Hongera sana. Kwa urembo huo siyo wanawake tu hata sisi wanaume rijali unatuvutia!
Nimezoea kusikia wanawake wakisema
"Nataka mwanaume mrefu, dark/black mwenye hofu ya Mungu na mtafutaji".
Sasa wewe sijui hao unaokutana nao ni wapi?
Matuta ni nn?Sidhani kama mtoa mada ana matuta
Ila kinondoni mnaikosea sana🤣Hapo kinondoni hamjambo?
Watu wanaojichubua kibao na wakongo paleIla kinondoni mnaikosea sana🤣