Wanaume weupe na kingeke cha kupendwa na wanawake!!

Wanawake utawasikia nataka mwanamme mweusi alafu kwenye mtoto anataka azae mtoto mweupe
 
Nimezoea kusikia wanawake wakisema

"Nataka mwanaume mrefu, dark/black mwenye hofu ya Mungu na mtafutaji".

Sasa wewe sijui hao unaokutana nao ni wapi?
Mhm huwajui wanawake wewe....ni warongoo hao usiamini maneno yao kabisaaaaa.
Wapo tayari kidate hadi na andunje muhimu ndalama iwepo
 
Wanawake utawasikia nataka mwanamme mweusi alafu kwenye mtoto anataka azae mtoto mweupe
Hawajielewi hawa...wao kidume akiwa na hela tuu basi vigezo vingine vyote wanaweka pembeni
 
Sisi wanaume weupe tuna kingeke cha kupendwa sana na warembo!!

Mimi kila mwanamke huwa anatamani kuwa na mimi

Hivi wakuu wanaume weupe huwa tuna nini?[emoji23][emoji23]

Nishaombwa na wanawake kibao wanizalie mtoto eti wanataka kuchanganya damu na wapate mbegu yangu na copy yangu[emoji1320][emoji1320]

Kila mahali ukienda au ukifanya jambo hata ukikosea unaonekana innocent usiye na kosa kwasababu muonekano unakuonyesha upo na uhb na vile mi mweupe na mrefu daaaah

Hivi ni mimi tu au na wanawaume ambao ni weupe na handsome nao wanakumbana na hii hali ya kutongozwa na kupendwa na wanawake?

Nikimtongozaga mwanamke huwa hachomoi kabisa..
Hongera sana. Kwa urembo huo siyo wanawake tu hata sisi wanaume rijali unatuvutia!
 
Sisi wanaume weupe tuna kingeke cha kupendwa sana na warembo!!

Mimi kila mwanamke huwa anatamani kuwa na mimi

Hivi wakuu wanaume weupe huwa tuna nini?[emoji23][emoji23]

Nishaombwa na wanawake kibao wanizalie mtoto eti wanataka kuchanganya damu na wapate mbegu yangu na copy yangu[emoji1320][emoji1320]

Kila mahali ukienda au ukifanya jambo hata ukikosea unaonekana innocent usiye na kosa kwasababu muonekano unakuonyesha upo na uhb na vile mi mweupe na mrefu daaaah

Hivi ni mimi tu au na wanawaume ambao ni weupe na handsome nao wanakumbana na hii hali ya kutongozwa na kupendwa na wanawake?

Nikimtongozaga mwanamke huwa hachomoi kabisa..
Mmhh
 
Back
Top Bottom