Wanaume Weusi warefu Pokeeni maua yenu

Unatafuta baasha kiaina hatuhitaji machoko sisi.
 
Acheni huuu usenge na ujuaji wakulazimishana jinsia kwa watu msiowajua, Mkuu!! Sijui utajisikiaje me nikisema lets say we ni mwamba me niseme we ni demu na umetoka kuliwa mbuz kagoma
Huo ni uhamuzi wako, na siwezi kukuzuia kuandika unachotaka.

Mfano mdogo ni hapo umekuja kurupu kurupu, unatukana. Nakuona kiande tu, then nakupotezea
 
Kabisaaa, Mwanaume Kuna vigezo tofauti kabisa na mambo ya physical appearance.......mambo ya urefu sijui ufupi atajua mwenyewe
Nimekuongeza kwenye list ya watu ninaowaheshimu hapa JF
Hawa wadada wanaosema wanapenda wanaume weusi hua hawapendi kuzaa watoto weusi wanapenda wazae watoto weupeee[emoji1][emoji1]
 
hahahahahaha nimecheka kishenziiii... Ko had ukirudiana na bwn white bdo mwanetu black ataendlea kujipakulia minyama?

Hapana maana tunaweza kujisahau nikikaribia kurudiana na baba watoto huyu black namtafutia sababu namblock kote japo nitalimiss penzi lake shatashata
 
Sasa ukikutana na mimi tu mbna kila kitu chako unanipa pisi kali

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nyie watu wewe Kama unafikiria mm mwanaume Sawa kaa kwa kutulia sijaja kubishania gender yangu jamani fikiria unavyopenda kufikiria wwโ€ฆ.

Najiandaa kuonana na cheusi wangu tupeane vitu vya j2 tulivu[emoji3059][emoji3059]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ