Hiyo ni imani tu ambayo mmejijengea ufundi wa mtu haupo kwenye urefu au ufupi au rangi ya mtu wapo ambao ni weusi na Tall na hawana maajabuWanaume warefu weusi wenye sharubu.
Nawasalim kwa jina la Jamhuri.
Siku nyingi sijakuona.Hiyo ni imani tu ambayo mmejijengea ufundi wa mtu haupo kwenye urefu au ufupi au rangi ya mtu wapo ambao ni weusi na Tall na hawana maajabu
Tuma picha hapa hapa tuone wengiKaribu ujionee pm
Wee endelea ku hustle mwaya.Nyie watu wewe Kama unafikiria mm mwanaume Sawa kaa kwa kutulia sijaja kubishania gender yangu jamani fikiria unavyopenda kufikiria ww….
Najiandaa kuonana na cheusi wangu tupeane vitu vya j2 tulivu[emoji3059][emoji3059]
MNAPENDA SAUTI NZITO?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]black men are f****n hoooot aiseee
Alafu sasa analisauti flan hivi zitooo uwiiiii[emoji126][emoji126]
Mim naweza kuwa na ID ya kiume sbb itanifanya nijisikie shupavu na powerful.Em tuambie ww na wenzako mnao fake jinsia zenu kivip mnanufaika na huo uamuz wenu?!!
Cute wife haangalii urefu, wewe weka pesa. Urefu unamsaidia nini
wakina sie ,tupewe maua yetu na tupo serious na maishaMrefu,mwembamba,mweusi,mpole,hofu ya Mungu ohoooo…nilijua hawa watu hawapoduniani.
Aki nakupenda mpka nakupenda tena.
Unakanafasi kako hivi moyoni❤️❤️
Nakupenda sana na Mungu akutunze kwa ajili yangu..aaawww umejua kuniteka.
View attachment 2653184
Mim naweza kuwa na ID ya kiume sbb itanifanya nijisikie shupavu na powerful.
Naheshimu sana jinsia ya kiume.Mwanaume ni mfano wa Mungu.Ni mamlaka na nguvu na ndio mana anapoongea mwanaume wangu nakuwa mnyenyekevu na mtiifu sababu huwa namuona Mungu na mamlaka kupitia yeye.
Na pia mtu anaweza kutumia ID ya jinsia tofauti kwa lengo la kificha privacy yake ila akawa haact kama ile jinsia.
Shida inakuja pale mwanaume aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu kukaa kabisa na kusifia mikia ya wanaume wenzie.Tena mara nyingi hizi IDs zinapenda sana kujiweka kama makahaba yaliyokubuhu kitu ambacho wanawake wa kweli hawezi kupata ujasiri wa kuanza kuelezea jinsi anavyofokolewa bila aibu.
Wanawake tuna aibu.Mimi pamoja na uchizi wangu woote ila siku zote nitaandika dushe,mkia au naniliu ila siwezi kutamka vile inavyoitwa kweli.
Mwanamke wa kweli wa kawaida hawezi kuanza kuropoka jinsi anavyotaka kukunjwa sijui anapenda nene nyeusii ya motoo sijui nataka kushika kila mahali sitaki kuzuiwa.
Mashoga au wale wanawake malayaaa wale wenye laana za mashehe na mapadre ndo wanaweza kuongea hivyo.
Wanafikiri kujiongelesha kikahaba ndo wataaminika ni wanawake na lengo la kujiongelesha hivyo ni kuwanyegesha kaka/baba zetu wawafate PM wakawaibie tuhela twao twa nauli[emoji2].
Umeona mbali mkuu.Wakulungwa wanasema ogopa sana ID zenye zinaleta sredi za namna hii...
Mi nilofunga PM na wewe uloacha PM yako wazi unadhan nani ana njaa ndogo ndogo.Kumbe ndio akili yako iko huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo za kuomba nauli tunawaachia nyie wenye shida ndogo ndogo
Nina Gari yangu my dia na Sina shida ya pesa na wala sijawahi kumuomba mtu humu pesa my dia
Na hata kwa cheusi sijawahi kumuomba hata mia
Alafu hujielewi ww utakua na njaa umekula Leo?? Embu tuma namba yako nikutumie pesa ya kula kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unapambana m mwanaume mwanaume sasa aliyekuambia nimekuja kubishana hapa nani??? Njaa inakusumbua wewe