hata wewe ni ..............Hii takwimu ipeleke huko huko nchi husika ila wanaume waTZ wengi ni wastaarabu bana acheni matusi yenu nyie akina dada. Kama mnauhakika huo basi ninyi ndio mashahidi wa jinsi mmekuwa mkijiachia kwa waume wa kila sampuli otherwise huwezi sema kwa ujasiri kuwa wanaume woote ni Malaya.
ntake radhi Deo
Yaani wewe hujashtuka tu kuwa Maria 1047 ni mwanamme?
Word...........!
Naona kweli umetuamlia siku ya leo. Hao ni wanaume, wanawake je ni waaminifu au nao ni malaya kamawalivyo wanaume??@Arusha, baba mngoni, mama mchagga.
Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:
1.Finencial Statment yake hairidhishi-i.e hata kama anaingiza hela nzuri kwa mwezi majukumu na mikopo vimenzonga
2.Biological defects (physiologically ana matatizo) a.k.a sio buheri wa afya
3.Hofu ya mungu (kuwaza sana life after death) HII IKO DHAIFU
My take:Mdada usije ukawaza kumwacha mmeo/bf kisa umeproove katoka nje.Mmeo kama ni akionea (laki haimpigi chenga) jua unashare na mdada mwenzio/wenzio either kama nyumba ndogo au kwa hit and run stlye.
tueshimianelabda unitikisie "PARACHICHI"
kwa iyo nyie wanaume huko ndani ni malaika hamna factors nyie,wanafiki wakubwanilikuwa naheshm sana mawazo yako ila nimegunduwa kuwa we ni mpuuzi tena mvivu wa kufikiri. kama umetendendwa au kila mwanaume unaekuwa nae anaku2tenda basi jifanyie evaluation ujue wap umepungua. wanaume walio oa wanatoka nje ku2kana na factors za mke na sio ushenzi ulioandika hapo juu.
ningekushangaangoja nitafute mbaya na ila asie na hela duh nani ale mawee mwe heri kushear kuliko kufa masikini
hata mimi nilikuwa najisemeaga hivyohivyo ila siku nilipojua Mmasai kacheat kidogo nizimie kwa maumivuBasi mie na bahati ...................
hata dada zako uliozaliwa nao tumbo mmoja watasema kama navyosema kuwa manaume wooooooooooooooote ni malayawe mdada au jimama
umekosea, pengine hujafanya utafiti. kinachokusumbua unatueleza maisha yaliyokukuta wewe na hiyo si sahihi. umekuwa kama vipofu walioenda kumtazama tembo kila mmoja alileta taarifa kulingana eneo alilogusa. mwingine sikio, mwingine mguu, mwingine mkonga. nakupa pole na wanaume wote hawako hivyo. pengine na wewe jichunguze kwa nini yakupate hayo? hujatulia
be blessedhuwa sipendi ku - generalize mambo. Lakini kuna ka ukweli katika hili, walahi. Mwenyezi Mungu atusaidie na haya Maradhi.. Loh!
hata mimi nilikuwa najisemeaga hivyohivyo ila siku nilipojua Mmasai kacheat kidogo nizimie kwa maumivu
kwa sasa nimekomaa roho hainiumi sana
hapo juu nimeeleza sababu tatu za wanaume wanaoponda umalaya waweza kuzisoma incase umekurupukanilikuwa naheshm sana mawazo yako ila nimegunduwa kuwa we ni mpuuzi tena mvivu wa kufikiri. kama umetendendwa au kila mwanaume unaekuwa nae anaku2tenda basi jifanyie evaluation ujue wap umepungua. wanaume walio oa wanatoka nje ku2kana na factors za mke na sio ushenzi ulioandika hapo juu.
shosti umekulia kanisanikwani huwa wanacheat ...................
i hate infidelity.every man wants to try sex with a prostitute
around one in five new zealand men has visited a prostitute at least once..............upo?
kuwa na real love haimaanishi kutotembea nje
kuna professor flani udsm anampenda mkewe ile sana tuu yaani kuliko unamsema vibaya mkewe bora umchanje yeye kwa kisu ila prof. Nje anaenda sana kwa kisingizio cha urijali