Wanaume woooote ni ...........mdada usimwache laazizi wako kwa hili

Wanaume woooote ni ...........mdada usimwache laazizi wako kwa hili

we mdada au jimama
umekosea, pengine hujafanya utafiti. kinachokusumbua unatueleza maisha yaliyokukuta wewe na hiyo si sahihi. umekuwa kama vipofu walioenda kumtazama tembo kila mmoja alileta taarifa kulingana eneo alilogusa. mwingine sikio, mwingine mguu, mwingine mkonga. nakupa pole na wanaume wote hawako hivyo. pengine na wewe jichunguze kwa nini yakupate hayo? hujatulia
 
Hii takwimu ipeleke huko huko nchi husika ila wanaume waTZ wengi ni wastaarabu bana acheni matusi yenu nyie akina dada. Kama mnauhakika huo basi ninyi ndio mashahidi wa jinsi mmekuwa mkijiachia kwa waume wa kila sampuli otherwise huwezi sema kwa ujasiri kuwa wanaume woote ni Malaya.
hata wewe ni ..............
 
Yaani wewe hujashtuka tu kuwa Maria 1047 ni mwanamme?
ntake radhi Deo
mimi najiachiaga sana hapa JF ndio maana nimejaza maadui kila kona
Mimi sio Maria 1047 ni Marytina
 
huwa sipendi ku - generalize mambo. Lakini kuna ka ukweli katika hili, walahi. Mwenyezi Mungu atusaidie na haya Maradhi.. Loh!
 
Word...........!

Hommie naona umemmsoma Marytina kwa umakini

Unajua ukikaa chini ukareflect, utagundua kuwa anaongea kitu cha ukweli ulio mchungu na ambao pengine tusingependa kama wanaume uwekwe hadharani hivi.....think...!
 
nilikuwa naheshm sana mawazo yako ila nimegunduwa kuwa we ni mpuuzi tena mvivu wa kufikiri. kama umetendendwa au kila mwanaume unaekuwa nae anaku2tenda basi jifanyie evaluation ujue wap umepungua. wanaume walio oa wanatoka nje ku2kana na factors za mke na sio ushenzi ulioandika hapo juu.
 
@Arusha, baba mngoni, mama mchagga.

Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:

1.Finencial Statment yake hairidhishi-i.e hata kama anaingiza hela nzuri kwa mwezi majukumu na mikopo vimenzonga
2.Biological defects (physiologically ana matatizo) a.k.a sio buheri wa afya
3.Hofu ya mungu (kuwaza sana life after death) HII IKO DHAIFU

My take:Mdada usije ukawaza kumwacha mmeo/bf kisa umeproove katoka nje.Mmeo kama ni akionea (laki haimpigi chenga) jua unashare na mdada mwenzio/wenzio either kama nyumba ndogo au kwa hit and run stlye.
Naona kweli umetuamlia siku ya leo. Hao ni wanaume, wanawake je ni waaminifu au nao ni malaya kamawalivyo wanaume??
 
nilikuwa naheshm sana mawazo yako ila nimegunduwa kuwa we ni mpuuzi tena mvivu wa kufikiri. kama umetendendwa au kila mwanaume unaekuwa nae anaku2tenda basi jifanyie evaluation ujue wap umepungua. wanaume walio oa wanatoka nje ku2kana na factors za mke na sio ushenzi ulioandika hapo juu.
kwa iyo nyie wanaume huko ndani ni malaika hamna factors nyie,wanafiki wakubwa
 
ngoja nitafute mbaya na ila asie na hela duh nani ale mawee mwe heri kushear kuliko kufa masikini
ningekushangaa
hata akiwa mmbaya atanase mmbaya mwezie so bora hela iwepo uspendi nae wikend kuliko ajifanye anaenda mwenyewe kijiweni
 
Basi mie na bahati ...................
hata mimi nilikuwa najisemeaga hivyohivyo ila siku nilipojua Mmasai kacheat kidogo nizimie kwa maumivu
kwa sasa nimekomaa roho hainiumi sana
 
we mdada au jimama
umekosea, pengine hujafanya utafiti. kinachokusumbua unatueleza maisha yaliyokukuta wewe na hiyo si sahihi. umekuwa kama vipofu walioenda kumtazama tembo kila mmoja alileta taarifa kulingana eneo alilogusa. mwingine sikio, mwingine mguu, mwingine mkonga. nakupa pole na wanaume wote hawako hivyo. pengine na wewe jichunguze kwa nini yakupate hayo? hujatulia
hata dada zako uliozaliwa nao tumbo mmoja watasema kama navyosema kuwa manaume wooooooooooooooote ni malaya
 
huwa sipendi ku - generalize mambo. Lakini kuna ka ukweli katika hili, walahi. Mwenyezi Mungu atusaidie na haya Maradhi.. Loh!
be blessed
u r my braza frm anaza maza
 
kwani huwa wanacheat ...................

hata mimi nilikuwa najisemeaga hivyohivyo ila siku nilipojua Mmasai kacheat kidogo nizimie kwa maumivu
kwa sasa nimekomaa roho hainiumi sana
 
nilikuwa naheshm sana mawazo yako ila nimegunduwa kuwa we ni mpuuzi tena mvivu wa kufikiri. kama umetendendwa au kila mwanaume unaekuwa nae anaku2tenda basi jifanyie evaluation ujue wap umepungua. wanaume walio oa wanatoka nje ku2kana na factors za mke na sio ushenzi ulioandika hapo juu.
hapo juu nimeeleza sababu tatu za wanaume wanaoponda umalaya waweza kuzisoma incase umekurupuka
mimi siitaji heshima kwa unafiki
 
“every man wants to try sex with a prostitute”
around one in five new zealand men has visited a prostitute at least once..............upo?
i hate infidelity.
 
kuwa na real love haimaanishi kutotembea nje
kuna professor flani udsm anampenda mkewe ile sana tuu yaani kuliko unamsema vibaya mkewe bora umchanje yeye kwa kisu ila prof. Nje anaenda sana kwa kisingizio cha urijali

hawakosekani akina hao.
Unakuta mwanamke ndo tatizo lakini kumfanya mwanaume atoke nje!
Kuna wanaume tupo waaminifu sana,lakini,wanawake wamekuwa wachafu sana...yani, mpaka mtu anaogopa kuwa na mchumba!
 
Back
Top Bottom