- Thread starter
- #121
unatamani nizeeke hata kesho manake unahisi nitakuibia mmeoHilo ni la muhimu sana......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unatamani nizeeke hata kesho manake unahisi nitakuibia mmeoHilo ni la muhimu sana......
kosa langu halifanyi kosa lako lionekane sawa/rightHizi ni sababu tu lakini kwani wanawake nao wakoje .
Kuan kitu kinaitwa gender conflict naona ndicho anachozungumzia Maria hapa ,
yaani mwanamke kumlaumu mwanaume na mwanaume kumlaumu mwanamke.
kama ilivyo kwenye generatin conflict .babu kumlaumu kijana,kijana kumlaumu babu
hapana nakataa
wanaume malaya ndio wengi zaidi sema utakuta mwanamkee mmoja anacheza na wanaume wanne so uwiano ni 1:4 wanaume na wanawake respectively
Ni tangu lini umenijua wewe mtoto? acha uongo bhana...! Mimi ni mwaminifu sana.....! Yaani ukiniachia siendi kusema...!nimekujua leo??????????????????????
nimegundua wewe unaibiwa mumeo kila mara na bila chenga (yaan anachukuliwa mbele yako) ndio maana unanijia juu kiasi hiki.
kwa nini unatumia avatar ya radi/moto??????????Ni tangu lini umenijua wewe mtoto? acha uongo bhana...! Mimi ni mwaminifu sana.....! Yaani ukiniachia siendi kusema...!
Mkuu MTM wasiliana na Rejao akuonyeshe kunakopatikana avatar 'zenye usalama' maana unaweza kubakwa hapa...
Wee... usijidanganye...
Hivi huyo mmasai si ulisema keshachukuliwa na wa kutoka US... bado una nafasi?
Hebu jaribu kufikiria sababu zingine maana nikijichukulia mfano wa mimi; japo ela ya vits sina lakini walau ya bia, gesti na kagari ka kutembelea kapo, lakini sijawahi kupata hamu ya kucheat... Kuhusu biology si haba sana maana viraundi viwili vitatu mara tatu nne kwa wiki wifi yako anarizika, na akisafiri hapa hapa kwa dunia au akienda mwezini bado namsubir... Kuhusu kumcha Mungu ni kweli namcha mungu sana, na japo udhaifu wa kibinadamu wanifanya sometimes niende kinyume na amri zake, lakini walau udhaifu huo haujawahi kuwa dhidi ya amri ya sita...
Sasa kwa mawazo yako unadhani mimi bado nina 'tatizo' gani?
Mwe jamani kumbe wewe sio mzee, mi saa zote najua ni mzee, mbona sasa umekata tamaa mapema hivi?unatamani nizeeke hata kesho manake unahisi nitakuibia mmeo
hah.....hah.......hahSikujii juu ibali nakushangaa, umeshaniona nalalamika juu ya wanaume humu? Mungu kanifunda na nimefundika najua jinsi ya kuishi na mume wewe, kama anachukuliwa mbele yangu na mimi sijui kama anachukuliwa nina hasara gani mwanakwetu..niache kufurahia ndoa yangu eti nahisi mume wangu anaibiwa.....! No no sikuolewa kufanya hiyo kazi ya uchunguzi.......
sio kwamba nimekata tamaa ila nimeukubali ukweli mapema...waache wanaotafuta mwanaume wa kuwa wao peke yaoMwe jamani kumbe wewe sio mzee, mi saa zote najua ni mzee, mbona sasa umekata tamaa mapema hivi?
Kumbe....??? Basi nitaiondoa....! Halafu utakuja eeehhh?kwa nini unatumia avatar ya radi/moto??????????
hah.....hah.......hah
umenifurahisha sana
Mwanaume ukishamkubali usimfanyie uchunguzi manake atakutapisha ila kuwa wakati kwa coincidence unajikuta umejua na hapo watu wa roho kama zako watajifanya kumwacha mara vikao visivyo na maana kumbe wengine tumeshazoea
nataman tabia zako ziende kwa mchumba wangu
mweshimu mpenzi wako usitake kumchefuaKumbe....??? Basi nitaiondoa....! Halafu utakuja eeehhh?
kumbe tunafananaMimi sina roho ya kuachana wewe mbona hunielewi? Nimeshakwambia toka mwanzo kwamba haachwi mtu Mungu hapendi jamani......
hata my bf nilimpata kanisani ila kuna siku aliibwakanisani kwetu wanaombea matatizo kama yako!njoo ufanyiwe!
mumeumbwa hivyo sasa tufanyeje????????????
sio kwamba nimekata tamaa ila nimeukubali ukweli mapema...waache wanaotafuta mwanaume wa kuwa wao peke yao