Wanaume wote mikono juu

Wanaume wote mikono juu

Matanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
2,281
Reaction score
3,976
Mke Alikagua Simu[emoji336] ya Mume wake Akakuta Majina haya.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji117] Super Woman
[emoji117] My Love
[emoji117] Woman of My Dream
[emoji117] My Princess
[emoji117] Sweetheart

Machozi yalimtoka akajua hayupo pekeake. Akaamua kupiga namba ya kwanza Akapokea Mama wa Mume wake. Akapiga namba yapili Akapokea dada wa Mume wake. Akapga namba ya tatu Simu yake yeye ikaita. Akapga ya Nne Akapokea binti yao. Akapga namba ya Tano Akapokea Mama yake yeye.

Akajilaumu kwa kumuhisi vibaya Mume wake na akaamua kumpa Milion Moja Kama zawadi[emoji119][emoji119][emoji119]
Kesho yake Mume akaztumia zile Ela Kumnunulia Zawad Mchepuko Wake Ambae Alimsevu Kama Fundi Viatu.

Wanaume Mungu anatuona [emoji22][emoji22][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088]
 
Mikono juu tunawekaje kwenye comment? Kikoloni maana yake hands-up, ndiyo maana tunaogopa kidogo
 
Mke Alikagua Simu[emoji336] ya Mume wake Akakuta Majina haya.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji117] Super Woman
[emoji117] My Love
[emoji117] Woman of My Dream
[emoji117] My Princess
[emoji117] Sweetheart

Machozi yalimtoka akajua hayupo pekeake. Akaamua kupiga namba ya kwanza Akapokea Mama wa Mume wake. Akapiga namba yapili Akapokea dada wa Mume wake. Akapga namba ya tatu Simu yake yeye ikaita. Akapga ya Nne Akapokea binti yao. Akapga namba ya Tano Akapokea Mama yake yeye.

Akajilaumu kwa kumuhisi vibaya Mume wake na akaamua kumpa Milion Moja Kama zawadi[emoji119][emoji119][emoji119]
Kesho yake Mume akaztumia zile Ela Kumnunulia Zawad Mchepuko Wake Ambae Alimsevu Kama Fundi Viatu.

Wanaume Mungu anatuona [emoji22][emoji22][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088]
Mikono juu kwa huu Utumbo wako????
 
Back
Top Bottom