Wanawake wana stress sana mkuu. Kuna wanaume wako single ili tu wafanye mambo yao. Ila ndio ivyo ukijidai uko single wenzio wanakula tuWanawake wengi hivyo. Wanaume tupo robo wao wapo robo tatu yani kila mwanaume anaweza miliki wanawake watatu ukiona mwanaume yupo singo ujue sio mzima huyo