La Quica
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 1,009
- 2,315
KADRI UNAVYOENDELEA KUBAKI SINGLE NDIVYO MKEO MTARAJIWA ANAVYOZIDI KUCHAKAZWA.
Sasa wewe endelea kubaki single utakuja kuoa used wenzako washafaidi mautamu yote.
Mwanaume usiogope kutongoza kupigwa kibuti ni sawa na ku lose battles ni kawaida kwenye wars.
Losing a battle is not losing a war.