"Wanaume wote ni nyoka...."

"Wanaume wote ni nyoka...."

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
"Wanaume wote ni nyoka... wanatofautiana rangi,urefu,upana,vichwa...."

Nilikuwa sehemu fulani nimetega sikio nikawasikia wakitusema......

Wana maana gani????????

snake.jpg
 
Na wewe yanini ulitega sikio, huoni kama kosa.
 
Heheheeeee mi picha tu ndo imeniacha hoi hayo mengine sijui..
 
"Wanaume wote ni nyoka... wanatofautiana rangi,urefu,upana,vichwa...."

Nilikuwa sehemu fulani nimetega sikio nikawasikia wakitusema......

Wana maana gani????????

View attachment 54192


we boflo vipi wewe? unapotuita wanaume nyoka unasahau kwamba wanaume ndo baba zako? kwa hiyo na wewe ni uzao wa nyoka kwa hiyo na wewe ni nyoka tena nyoka huyo cjui ni chatu au cobra maana ndo baadhi ya makabila hayo ya nyoka!!!! umeonaeee?
 
ha ha ha ha, picha imenichekesha kwa nguvu.

Asante Boflo, umeifanya siku yangu.
 
Last edited by a moderator:
Naam! Kwani kwa wengine hupona kwa sumu yao na wengine huathirika na simu ya nyoka "mwanamme"
 
Mwanaume mzima kila siku kazi ya umbea tu. hovyooo!!...
Angalia usije kuvalishwa sketi.
 
kwa hiyo wanaume ni kizazi cha nyoka?

According to Boflo wanaume ni nyoka sasa nyoka hawezi zaa panya au kuku atatoa nyoka tu. kwa kuwa wanaume ni baba zake basi nae ni uzao wao yani nae ni nyoka.... kuthibitisha nae ni nyoka alienda akasikiliza huko halafu katuletea huku... nyoka ni nyoka tu teh teh teh
 
According to Boflo wanaume ni nyoka sasa nyoka hawezi zaa panya au kuku atatoa nyoka tu. kwa kuwa wanaume ni baba zake basi nae ni uzao wao yani nae ni nyoka....
Elisha Ray mkuu naona nimekugusa sana...

pole sana, lakini sio mm nilosema, kumbuka kuwa mjumbe hauwawi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom