Wanaume wote njooni mchague wenyewe

Wanaume wote njooni mchague wenyewe

haya usipozuia tamaa unaweza ukaangukia namba ipi
 
kuna kawimbo ka utotoni kanasema Najua kuhesabu nambaa 1...2...3!!
 
naona 16 tuko wengi sana, alafu hiyo namba nne kama yule delicious wa kiume wa huko bongo, alafu namba moja kuna bro fulani hivi analo yupo pande za mwanza.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namba 16 ni balaa
 
Back
Top Bottom