Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tembo hasumbuliwi Na mkonga wakeNa mtavunjika shingo kwa kuzigeuza kila upande...hiyo ndo adhabu yenu inayowafaa
Mnaisingizia tu shingoFahari ya macho shingo ndiyo hupata shida!
Lakini watamu kichiziFlat screen wakiona nyuzi kama hizi wanakunja sura kama wanalamba ndimu!! Pambaneni na hali zenu!!
Mwanamke TABIA bhana!!
Umesha ehhhEwaaa...umenena kweli tupu boss!
Tako Bidhaa Adimu labda Ulaya...hapa bongo Tabia sio adimu...Neno TABIA Ni Kifupisho Cha Maneno Tako Bidhaa Adimu....
Uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia Na Kweli Wanaume Tunazingatia Hilo Ndo Maana Tukipishana na wanawake Njiani Ni Lazima Tugeuke Kuangalia Kama TABIA Njema Ipo.....