Wanaume woyo woyo woyo......

Wanaume woyo woyo woyo......

Na mtavunjika shingo kwa kuzigeuza kila upande...hiyo ndo adhabu yenu inayowafaa
 
Ewaaa...umenena kweli tupu boss!
 
Ndio tafairi yako hiyo, h9ngera kwa kuwa mchambuzi
 
Inafikia kipindi, usiku nikitaka kulala shingo mpaka niipige Volini kwa maumivu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Neno TABIA Ni Kifupisho Cha Maneno Tako Bidhaa Adimu....

Uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia Na Kweli Wanaume Tunazingatia Hilo Ndo Maana Tukipishana na wanawake Njiani Ni Lazima Tugeuke Kuangalia Kama TABIA Njema Ipo.....
Tako Bidhaa Adimu labda Ulaya...hapa bongo Tabia sio adimu...
 
Back
Top Bottom