Wanaume woyo woyo woyo......

Wanaume woyo woyo woyo......

Neno TABIA Ni Kifupisho Cha Maneno Tako Bidhaa Adimu....

Uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia Na Kweli Wanaume Tunazingatia Hilo Ndo Maana Tukipishana na wanawake Njiani Ni Lazima Tugeuke Kuangalia Kama TABIA Njema Ipo.....
hahahahhahah haya bhana
 
Flat screen wakiona nyuzi kama hizi wanakunja sura kama wanalamba ndimu!! Pambaneni na hali zenu!!

Mwanamke TABIA bhana!!
sio kweli mkuu, ukiona mwanamke yeyote awe flat au Tabia kama msemavyo hajiamini ujue ana shida zake
mimi kiukweli najiamini sana no matter what shape I have, Mungu alimaliza yote alivyoniumba
sina sababu ya kuchukia muonekano wangu, BTW kuna walio zaliwa bila miguu na mikono na bado wanamtukuza Mungu.
Who am I nisiwe na shukrani kwa Mungu na kujiamini mbele za watu.
 
Na mi namalizia kuoga nikaone tabia ya mchepuko wangu mpyaaaa..yani [HASHTAG]#Mimi[/HASHTAG] hela naenda kuimiliki moja ya T.AB.I.A usiku huu ni hatari..mh umenipatia vibaya adi nimechelewa
 
Inafikia kipindi, usiku nikitaka kulala shingo mpaka niipige Volini kwa maumivu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Dah iyo tekniki nfundishe mana mi wale wa jogging ndo hadi natafuta doctor shingoo inazingua..hatari sana
 
Neno TABIA Ni Kifupisho Cha Maneno Tako Bidhaa Adimu....

Uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia Na Kweli Wanaume Tunazingatia Hilo Ndo Maana Tukipishana na wanawake Njiani Ni Lazima Tugeuke Kuangalia Kama TABIA Njema Ipo.....
We ni kijana au mzee?
 
Back
Top Bottom