Wanaume: You have to grow up

Wanaume: You have to grow up

Mmh hivi hata kina Halima Mdee,Joyce Kiria,Esther Bulaya hua wana hivi vimaneno au ni nyie mnaopenda kitonga tu

Eti kitonga!! Hiyo ndio nature ati, mwanamke hata awe na pesa kiasi gani lazima mwanaume uwe juu yake, lasivyo ujue umeolewa na hutokaa uwe na amani, utakuwa full kujistukia.
 
Kwani Invizibo yuko likizo leo? Huyu anatakiwa ale ban ya milele kwa kuumiza hisia zetu namna hii.

We are calling for all out war bana. Single mothers, 30s and unmarried, grandpa toys, waliotutosa, wasiojibu PM, et cetera et cetera, jiandaeni.
 
Tatizo sio pesa... issue ni kiasi cha pesa unachokitaka!!! sa zingine hata ulipotoka ulikua huna access ya kiasi hicho cha fedha

muda mwingine ni vizuri mkajifunza kuvumilia... it may help you sometimes!!! Mwanaume ulietoka nae mbali atakuthamini kwa mengi kuliko umkute mtu kishajijenga na channel zote za hela... utafanywa mtumwa

Nadhani unajaribu kupotosha ukweli na mrengo wa mada yangu na kuja na kitu kipya ambacho naona ndicho wengi mlitaka iwe mada, ukweli ni kuwa acheni kulalama maana it wont get you anywr, hebu amkeni mjitume na kila kitu kitakuwa sawa, just aim high hata usipofikia malengo ila failure yako bado inakuwa ni success in other way.
 
Kuna time wakifika wata realize whats important wao wenyewe.....

"Love makes the world go round"

For sure... Age matters naona!!!
Love is everything ati... Hizo hela hata matajiri bado wanaendelea kuzitafuta, hutakaa useme zinatosha
 
Unaposema "wa kawaida" unaongelea nini haswa? Huo ukawaida wake ni wa nini? Hapa mnajaribu tu kupindisha mada iwe vile mnavyotaka ila kaongelea kitu cha msingi mnoo basi tu kwavile ni jambo ambalo wengi humu huwa hampendi kuambiwa, huo ujumbe wako hapo chini nanyi mngeuzingatia aisee walaaa msingekuwa mnasumbua humu na nyuzi zenu zileeeeee.
Mtu wa kawaida we all know anakua middle class... sa unakuta from her family hawajawai kutolewa hata once kwenye dinner 5star hotel ila kwa vile kaona insta shost wake kapelekwa na ye anaanza visa kwa bf apelekwe

Huo ujumbe unazingatiwa sana sema nyie mnapoanza vituko ndo watu wanatafuta alternatives lol....
 
Kwani Invizibo yuko likizo leo? Huyu anatakiwa ale ban ya milele kwa kuumiza hisia zetu namna hii.

We are calling for all out war bana. Single mothers, 30s and unmarried, grandpa toys, waliotutosa, wasiojibu PM, et cetera et cetera, jiandaeni.

Hahahaaaa bwana shemeji nimejikuta nacheka tuuuu, yaani nacheka tu.
 
Hahahahaaaa! Sasa kama una uwezo wa kumpeleka diner huko si umpeleke naye akaoshe macho? Ndio anaanza kujiupgrade hivyo jamani and if you can make that hapen why not?
 
Hahahaaaa bwana shemeji nimejikuta nacheka tuuuu, yaani nacheka tu.
Usicheke bana. Mi nimeumia ujue? Hata wanaume tuko sensitive aisee, especially wakati huu wa uchaguzi.

Kwanza nina hasira mgombea wangu bora, Tyson amechemka.
 
Kwani Invizibo yuko likizo leo? Huyu anatakiwa ale ban ya milele kwa kuumiza hisia zetu namna hii.

We are calling for all out war bana. Single mothers, 30s and unmarried, grandpa toys, waliotutosa, wasiojibu PM, et cetera et cetera, jiandaeni.

Paulo hata nikipewa ban haitosaidia kubadilisha ukweli wa mambo
 
......
Imefikia hatua mwanaume anamuonea wivu binti mdogo aliyeolewa na mwanaume (wa makamo) mwenye pesa, utakuta wamekaa wakimjadili binti na hata kumtukana na kuwachanganya wanawake woote kuwa wanapenda pesa (who doesnt), .......
Ujumbe mwanana ila usisahau kuwa hii ni nature ya mwanaume kutamani awe ndiye pekee wa kupata K zote duniani. Hata kwa wanyama, kama mfano una kuku wengi na majogoo mawili, yatapigana hadi moja lisifuate majike wale. Angalia hata mbuzi na Ng'ombe. Dume moja likiwa na majike 100 linatanua. Hivyo wivu huo na kukaa vijiweni wanapokezana ubyu kuwa msichana mzuri kuolewa na kibabu ni aibu. Wewe achana nao fanya akili yako inavyokutuma maana YOU CAN NOT CHANGE the world. If you can not fight the system, cope with the system but do not join it. Mgombea wako kapata?!!!!!!
 
Kwa sisis wataalam wa kugundua watu kutokana na miandiko au aina ya uandikaji wao mitandaoni tunaweza kutofautisha kati ya mwanamke malaya anaishi kwa kutegemea **** yake na tigo yake vimlishe na mwanamke anaetegemea akili yake kuishi.

Mtoa mada ni aina ya wanawake wanaoishi kwa kutegemea **** na tigo vimlishe na kumuweka mjini. Mtu yoyote anaefirw.a lazima ataandika mada kama hii.
 
Back
Top Bottom