Mmh hivi hata kina Halima Mdee,Joyce Kiria,Esther Bulaya hua wana hivi vimaneno au ni nyie mnaopenda kitonga tu
Tatizo sio pesa... issue ni kiasi cha pesa unachokitaka!!! sa zingine hata ulipotoka ulikua huna access ya kiasi hicho cha fedha
muda mwingine ni vizuri mkajifunza kuvumilia... it may help you sometimes!!! Mwanaume ulietoka nae mbali atakuthamini kwa mengi kuliko umkute mtu kishajijenga na channel zote za hela... utafanywa mtumwa
Kuna time wakifika wata realize whats important wao wenyewe.....
"Love makes the world go round"
Mtu wa kawaida we all know anakua middle class... sa unakuta from her family hawajawai kutolewa hata once kwenye dinner 5star hotel ila kwa vile kaona insta shost wake kapelekwa na ye anaanza visa kwa bf apelekweUnaposema "wa kawaida" unaongelea nini haswa? Huo ukawaida wake ni wa nini? Hapa mnajaribu tu kupindisha mada iwe vile mnavyotaka ila kaongelea kitu cha msingi mnoo basi tu kwavile ni jambo ambalo wengi humu huwa hampendi kuambiwa, huo ujumbe wako hapo chini nanyi mngeuzingatia aisee walaaa msingekuwa mnasumbua humu na nyuzi zenu zileeeeee.
Kwani Invizibo yuko likizo leo? Huyu anatakiwa ale ban ya milele kwa kuumiza hisia zetu namna hii.
We are calling for all out war bana. Single mothers, 30s and unmarried, grandpa toys, waliotutosa, wasiojibu PM, et cetera et cetera, jiandaeni.
For sure... Age matters naona!!!
Love is everything ati... Hizo hela hata matajiri bado wanaendelea kuzitafuta, hutakaa useme zinatosha
Mtu wa kawaida we all know anakua middle class... sa unakuta from her family hawajawai kutolewa hata once kwenye dinner 5star hotel ila kwa vile kaona insta shost wake kapelekwa na ye anaanza visa kwa bf apelekwe
Huo ujumbe unazingatiwa sana sema nyie mnapoanza vituko ndo watu wanatafuta alternatives lol....
Usicheke bana. Mi nimeumia ujue? Hata wanaume tuko sensitive aisee, especially wakati huu wa uchaguzi.Hahahaaaa bwana shemeji nimejikuta nacheka tuuuu, yaani nacheka tu.
Nyakoo iwacho maber, ila ibedo makech sana, mosi ainya. Chuor ngima?!
Aerokamano![/QUOTE
kokwabedo makech hamuelewi. Teh teh, ingima?
Nyakoo iwacho maber, ila ibedo makech sana, mosi ainya. Chuor ngima?!
Aerokamano!
Nyakoo iwacho maber, ila ibedo makech sana, mosi ainya. Chuor ngima?!
Aerokamano![/QUOkokwabedo makech hamuelewi. Teh teh, ingima?
Yawa kare un jo dala, erokamano ainya, ing'eni weche moko duarore mondo wawach ka wakech mondo ji ong'e ni its serious, chuora ngima ainya.
Usicheke bana. Mi nimeumia ujue? Hata wanaume tuko sensitive aisee, especially wakati huu wa uchaguzi.
Kwanza nina hasira mgombea wangu bora, Tyson amechemka.
Kwani Invizibo yuko likizo leo? Huyu anatakiwa ale ban ya milele kwa kuumiza hisia zetu namna hii.
We are calling for all out war bana. Single mothers, 30s and unmarried, grandpa toys, waliotutosa, wasiojibu PM, et cetera et cetera, jiandaeni.
Ujumbe mwanana ila usisahau kuwa hii ni nature ya mwanaume kutamani awe ndiye pekee wa kupata K zote duniani. Hata kwa wanyama, kama mfano una kuku wengi na majogoo mawili, yatapigana hadi moja lisifuate majike wale. Angalia hata mbuzi na Ng'ombe. Dume moja likiwa na majike 100 linatanua. Hivyo wivu huo na kukaa vijiweni wanapokezana ubyu kuwa msichana mzuri kuolewa na kibabu ni aibu. Wewe achana nao fanya akili yako inavyokutuma maana YOU CAN NOT CHANGE the world. If you can not fight the system, cope with the system but do not join it. Mgombea wako kapata?!!!!!!......
Imefikia hatua mwanaume anamuonea wivu binti mdogo aliyeolewa na mwanaume (wa makamo) mwenye pesa, utakuta wamekaa wakimjadili binti na hata kumtukana na kuwachanganya wanawake woote kuwa wanapenda pesa (who doesnt), .......
Naona hapo mwisho ndio ilikua lengo la thread