Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Siku ingine utupe tahadhari basi kabla. Sio fresh kabisa.Paulo hata nikipewa ban haitosaidia kubadilisha ukweli wa mambo
For sure... Age matters naona!!!
Love is everything ati... Hizo hela hata matajiri bado wanaendelea kuzitafuta, hutakaa useme zinatosha
Ndio hivyo,
unataka mwenzako a aim higher halafu yeye ha aim anywhere....
Siku ingine utupe tafadhari basi kabla. Sio fresh kabisa.
Imefikia hatua mwanaume anamuonea wivu binti mdogo aliyeolewa na mwanaume (wa makamo) mwenye pesa, utakuta wamekaa wakimjadili binti na hata kumtukana na kuwachanganya wanawake woote kuwa wanapenda pesa (who doesnt), badala wakae wajiulize ni kwa namna gani huyo mwanaume mwenzao amefanikiwa kiasi hicho nao wajitahidi wamfikie au hata kumpita wamekalia majungu tuuuuuuu!! Utasikia mara free manson,mara pesa za madawa (maneno ya wakosaji).
Ujumbe mwanana ila usisahau kuwa hii ni nature ya mwanaume kutamani awe ndiye pekee wa kupata K zote duniani. Hata kwa wanyama, kama mfano una kuku wengi na majogoo mawili, yatapigana hadi moja lisifuate majike wale. Angalia hata mbuzi na Ng'ombe. Dume moja likiwa na majike 100 linatanua. Hivyo wivu huo na kukaa vijiweni wanapokezana ubyu kuwa msichana mzuri kuolewa na kibabu ni aibu. Wewe achana nao fanya akili yako inavyokutuma maana YOU CAN NOT CHANGE the world. If you can not fight the system, cope with the system but do not join it. Mgombea wako kapata?!!!!!!
Kwa sisis wataalam wa kugundua watu kutokana na miandiko au aina ya uandikaji wao mitandaoni tunaweza kutofautisha kati ya mwanamke malaya anaishi kwa kutegemea **** yake na tigo yake vimlishe na mwanamke anaetegemea akili yake kuishi.
Mtoa mada ni aina ya wanawake wanaoishi kwa kutegemea **** na tigo vimlishe na kumuweka mjini. Mtu yoyote anaefirw.a lazima ataandika mada kama hii.
With the heading "Wanaume you have to grow up" Aren't you kind of doing the same thing you detest?
Kwa sababu kama mimi post hainihusu ila nimekuja kwa sababu umeita wanaume...
Ni kweli kwamba maisha magumu and so on, ila isiwe excuse ya kuwafanya muwe marioo bila kujijua, wanaume wengi ni marios ila hawajijui tu, sasa si bora mijitanabaishe tuolewe wote tu na sio kuwa walalamishi that much,
Hahahahaaaa! Sasa kama una uwezo wa kumpeleka diner huko si umpeleke naye akaoshe macho? Ndio anaanza kujiupgrade hivyo jamani and if you can make that hapen why not?
Si ndio naye ka-aim higher kawa na bwana mengi? Sasa wivu unatoka wapi na kuanza kumsema sema wakati yule ni mwanamke, au nao wanataka kuolewa. The point here ni kuwa wanaume wanatakiwa wakue na watambue kuwa one day watakuwa baba wa familia so kulalama hakutokuwekea chakula mezani au kukusomeshea wanao. Mjitume maisha mazuri hayaji kwa kushinda mitandaoni mkitukana na kulumbana na wanawake, tanueni akili, work hard ili wanawake nao wafurahie kuolewa na "wanaume" sio wavulana.
Hii thread ni nzuri na unaweza jifunza mengi tu ila tatizo wanaume wa humu ni full ubishi. As a woman, nimegundua Kua wanaume wengi (sio wote), ni vivulana tu ila hawalijui Hilo. Kujiongeza ni muhimu sana katika Maisha. Kua na wivu wa maendeleo ni muhimu pia. Mtu Unaishi from paycheque to paycheque, una mke na watoto, bado huoni Umuhimu wa kutafuta vyanzo vingine vya kukuongezea kipato. Mshahara ukichelewa siku 2 tu, unahaha. Ukiambiwa, unakuja juu
Dinner atapelekwa tu ila sio kwa kuanzishiwa thread 😊😊... uvumilivu japo suna unatakiwa asee
Point sanaaaaaHabari wana jf, poleni kwa shughuli za ujenzi wa taifa.
Huku mkiendelea kupokea matokeo ya uchaguzi, naomba niongelee jambo moja la msingi ambalo nimekuwa nkilishuhudia katika jamii zetu na hata humu jf ni very common.Wanaume mmekuwa kama mmepatwa sijui na pepo gani! Yaani ni kama nanyi mnataka kuolewa, mmekuwa watu wa kulalamika tuuuuuuu, kazi hamtaki na hata wenye kazi akili zimekuwa mgando anategemea mshahara mdogooo hata hajitanui kimawazo kusaka hela zaidi, au kazi yenyewe anafanya kivivuuuu muda mwingi yupo kwenye mitandao ya kijamii kujibizana na kutukanana na watu asiowafahamu na wivu usio na mpango kwa waliomzidi kipato.
Imefikia hatua mwanaume anamuonea wivu binti mdogo aliyeolewa na mwanaume (wa makamo) mwenye pesa, utakuta wamekaa wakimjadili binti na hata kumtukana na kuwachanganya wanawake woote kuwa wanapenda pesa (who doesnt), badala wakae wajiulize ni kwa namna gani huyo mwanaume mwenzao amefanikiwa kiasi hicho nao wajitahidi wamfikie au hata kumpita wamekalia majungu tuuuuuuu!! Utasikia mara free manson,mara pesa za madawa (maneno ya wakosaji).
Ni kweli kwamba maisha magumu and so on, ila isiwe excuse ya kuwafanya muwe marioo bila kujijua, wanaume wengi ni marios ila hawajijui tu, sasa si bora mijitanabaishe tuolewe wote tu na sio kuwa walalamishi that much, ni aibu sana tena sana kwakweli.Msije kujifanya hapa sijui wanawake tunapenda mteremko ndio maana tukaitwa wanawake nanyi wanaume, sisi ni jukumu lenu, sasa mambo yamebadilika siku hizi nasi tunafanya kazi ili tusaidieane ila sasa isiwe ndio chance ya nyie kubweteka na kuwa marioo, mwanaume lazima uwe "MWANAUME" hii itakupa heshima bila hataaa kutumia nguvu kuidai.
You have to man up na mchukue nafasi zenu kama wanaume, kulalamika hakutokufanya uwe Bakhressa au Mengi, wivu pekee unaotakiwa kuwa nao ni wa kupiga hatua na sio kumuonea wivu K'lyn kwa kuolewa na Mengi (vipi wataka kuwa mke mwenzie?)
Nawasilisha, likikugusa waruhusiwa kutukana si ndicho mkijuacho zaidi.
Umeandika meengi ila wenye akili tushakusoma.
Hongera sana kwa kupata kibabu cha kukulea.............
Puuza maneo ya mtaani furahia dubwasha lako jipya..
Naelekea jukwaa la siasa kidogo kutibua kichwa kidogo, nitarudi
Hongera sana
Kwani huyu mario anakuwa mario kwa mwanaume au jimama? sasa wewe kinakuuma nini? Nilidhani unaongelea mashoga kwamba wanawaongezea competition.
Point sanaaaaa
waambie, japo tunawaambia kila siku hawasikii.
Wenye kusikia wameshajishtukia na kujirekebisha.
Wanaume mnanunuliwa kila kitu, hadi pocket money mnapewa. Akili bado haipati moto ukaamka???
Wanaume waoga hata mende ndio wa kwanza kupanda juu ya kiti
Wanaume wanakwenda saluni kuliko wake zao
Mwanaume anajua umbeya wa mtaani kuliko mke wake
Mwanaume bajeti ya home 50-90% anacover mke wake wakati wote hata sio wakati wa emmergency
Ndio sababu ndoa zinavunjika, mtu unajiuliza "kwa nini niko hapa" unakosa jibu, mapenzi adimu, pesa adimu
Hivi unaamini mafanikio ya mtu ni jitihada zake au bahati inachangia!??
Kufanya kazi kwa bidii na mafanikio ni vitu viwili tofauti... try to think out of the box