Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
sawa sawaKwakuwa hautaki kuuona ukweli lazima macho yako yaone kile kitakachokufariji.
Hii thread ni nzuri na unaweza jifunza mengi tu ila tatizo wanaume wa humu ni full ubishi. As a woman, nimegundua Kua wanaume wengi (sio wote), ni vivulana tu ila hawalijui Hilo. Kujiongeza ni muhimu sana katika Maisha. Kua na wivu wa maendeleo ni muhimu pia. Mtu Unaishi from paycheque to paycheque, una mke na watoto, bado huoni Umuhimu wa kutafuta vyanzo vingine vya kukuongezea kipato. Mshahara ukichelewa siku 2 tu, unahaha. Ukiambiwa, unakuja juu
Exactly nilichokielewa pia, ila sasa wanavyong'aka na kutukana humu unagundua tu jinsi gani kazi ipo tena sio haba, no wonder familia nyingi zinalelewa na wanawake siku hizi.
Yaani ni majanga, alafu eti mtu mshipa yanamtoka eti anatetea huo upuuzi! ! Mwanaume unauwaje unaolewa, utawafunisha nini wanao???
Nimeshahau hapo juu, kuna wanaume kibao siku hizi wana miko milaini kuliko ya wake zao, Aibu sana.
Mke ana fanya usafi, anafua, anapika ameajiriwa au ana kibarua na kibiashara chake mume labda ameajiriwa akitoka kazini ni simu, vijiwe ipads na TV.
Nimeshahau hapo juu, kuna wanaume kibao siku hizi wana miko milaini kuliko ya wake zao, Aibu sana.
Mke ana fanya usafi, anafua, anapika ameajiriwa au ana kibarua na kibiashara chake mume labda ameajiriwa akitoka kazini ni simu, vijiwe ipads na TV.
nyakoo, mada yako nzuri ili umeiwasilisha kwa mihemko. So, tulia ujibiwe staili hiyohiyo.
Yani ni kama unamtetea Jaki mada nzima.
Kuhusu pesa. Kuna mario wengi tu umario wao ni kutafuta pesa kwa hiyo mimama. Na hilo huna cha kufanya. Ongea mpaka koo litoke...
Umario mwingine ni wa kulazmishiwa. Suleimani mwenyewe alipelekewa dhahabu na malikia wa Sheba ili tu apate mbegu ya huyo Sele.
Halafu nimeshangaa sana unaongea kilugha... that speaks volumes kukuhusu. But heck... no personal attacks
Humu si kila mwanaume perfect ila wamejaa uduwanzi alafu hawataki kuambiwa ukweli ila ingekuwa mada ya kuwasema wanawake ungeona ambavyo povu lingewatoka, sasa unapowaambia ya msingi kwaajili ya maendeleo yao bado hawataki wanakutafutia kasoro.
Umeandika meengi ila wenye akili tushakusoma.
Hongera sana kwa kupata kibabu cha kukulea.............
Puuza maneo ya mtaani furahia dubwasha lako jipya..
Naelekea jukwaa la siasa kidogo kutibua kichwa kidogo, nitarudi
Hongera sana
Tatizo ni uwasilishaji wako umeifanya hadhira lengwa itafakari kumuhusu muwasilishaji badala ya mada.
Kuponda ni namna ya mwisho kabisa kushawishi hadhira yako ikuelewe. Wanaokutetea hawakutendei haki.
We ukiwaza ujumbe umefika, walengwa tunawaza yamekusibu yapi.
Hahahaha mi simjibu hili tu linamtosha
Wanapenda kutelezea ganda la ndizi mbivu
Jack ametumika kama mfano tu, na why nisimtetee? Kwani tatizo nini? Yeye ni mwanamke na kuolewa kwa mwanamke ni kawaida, shida ni pale mwanaume unapoolewa, yaani lugha za marioo utazijua tu, why nisiwe na mihemko wakati wanaume mnazidi kupotea hadi inafikia mnaolewa na wanaume wenzenu achilia mbali wanaoolewa na wanawake, kazi hamtaki tena sijui nanyi mwataka kuzaa kwa uchungu!! Bahati mbaya mnaishia kuzaa mavi tu, mkiambiwa hamtaki eti ongea hadi koo litoke!! Hivi utakuwa baba wa aina gani wewe!! Shame!! Alafu kuongea kilugha imekuuma pia! Daaah njoo nikufundishe basi maana najua chako hukijui wajifanya wa mjini, yeah nimeongea and am proud, ikikuuma fumba macho.
kwenda uko uyo ulonae kwa kua ana vipesa ndo unasema anajielewa akiishiwa utamkimbia atakua hajielewi tena...we c useme tu kwamba unapenda mwenye pesa ili tukutafute wenye pesa tupo.
Wewe utakuwa na babu kwa pesa zake,halafu pembeni una ka mariooo umekipenda halafu kanakupiga mizinga balaa.Hela zote anazokupa babu mariooo anabeba unakuja kulia lia jf.nyambaaaf
Hicho ndo ulichoandika kwakuwa ndicho ulitamani kukiwaza ila bahati nzuri ulichoandika pale awali kinaonyesha mada imekuingia haswaaa na umeielewa, hiyo nyingine ni mihemko yako tu baada ya mada kukuingia. Kuna namna nyingi za kuwasilisha jambo hii pia ni njia mojawapo na uzuri ni kuwa ujumbe umefika, hayo mengine jifarijini tu maana sio mbaya mada ikikukolea ukajipooza pia.
Mens we are direct insulted by this girl. Najizuia kureply maneno makali tu. Tafsiri ya elimu ni matendo mkuu,ili bidi utumie busara na knowledge uliyoipata shule kujaribu kuweka thread yako vzr.
Jiangalie upya dada angu