Wanaume: You have to grow up

Oooooh hatimae umekubali kuwa umeolewa and yo okey with it, basi sawa bibie, ila ujumbe umeupata. Kama unaona ni ukijijini basi kuolewa kwema wa mjini.
 
Unafikiri ujumbe ungekuwa haujakufika ungekuwa hapa? Fundi ujumbe umekufika tena haswaaaa maana ulishasema pale awali, kwahiyo kama umeamua kuwa shingo ngumu na kuamua kuolewa basi sawa ila sijui utawafundisha nini wanao wa kiume kama baba yao umeolewa.
 
Mens we are direct insulted by this girl. Najizuia kureply maneno makali tu. Tafsiri ya elimu ni matendo mkuu,ili bidi utumie busara na knowledge uliyoipata shule kujaribu kuweka thread yako vzr...

Spot on! Halafu akielezwa anakimbilia kwenye kikona chake cha 'ujumbe umefika' na matusi. She ain't a type to convince a boy to man up! But this is JF. All and sundry can claim stuff... so much stuff!!
 
Like yo doing eti?? Teh teh teh ujumbe umefikaaaaaa, nyie ni wa kuambiwa hivi hivi si unaona ulivyoguswa!! Huo ni ukweli sio matusi, ukiona ni tusi basi ujue limekupata na limegonga penyewe, nashukuru umepata kitu, so man up, umesikia mtoto mzuri.
 
Hahaaa ningeshangaaa uzi kama huu ukosekane, hata hiyo ningefika mwisho bila kuona comment yako nilipanga nikuite, manake huyu kama wewe vile vile!!!!!!

Hahahaaaaa! My kaka sikosekani aisee, naangalia tu jinsi watu wanavyotiririka, huyu nyakoo kanikosha ningempa soda sema ndio basi tena nami mchunguuu kwenye hela yangu, teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:

nyakoo, kejeli hazibadilishi uhalisia kukuhusu au kunihusu na zinakuanika zaidi ulivyo. Chukua ushauri wangu, jipime kama we nawe ni wa kushauri wanaume kujiboresha. Ngoja kwanza...., wewe jiboreshe ndo urudi hapa kufunda wanaume.
 
Khaaaah!! Kejeli ni sehemu ya kufikisha ujumbe pia, na umefika haswaaaaaaa,
hii ingekuwa mada inayohusu wanawake mngeshadadia hatari na walaaaa msingeziona hizo sijui mnazoziita kejeli mara matusi mnatafuta tu releaf ila ujumbe mmeupata, kazi kwenu ku-man up au kuolewa. Ila kama mmeamua kuolewa basi msilalamike maana yo aint man enough.
 
Like yo doing eti?? Teh teh teh ujumbe umefikaaaaaa, nyie ni wa kuambiwa hivi hivi si unaona ulivyoguswa!! Huo ni ukweli sio matusi, ukiona ni tusi basi ujue limekupata na limegonga penyewe, nashukuru umepata kitu, so man up, umesikia mtoto mzuri.

nyakoo nyakoo nyakoo...... jipange upya kwenye uwasilishaji wako. Ona umekimbilia tena kikona chako.
 
Kama kawaida kwenye kona. Dah... unatabirika kiurahisi mno nyakoo! Mbona unajumuisha sana? But then, kama nilivyokushauri, jiboreshe!!
 
nyakoo nyakoo nyakoo...... jipange upya kwenye uwasilishaji wako. Ona umekimbilia tena kikona chako.

Uwasilishaji walaaa usikupe shida kwa leo ilibidi iwe hivyo maana hamna jinsi, na imesaidia ujumbe kukuingia zaidi, sio mara zote mada iwasilishwe unavyotaka wewe, hiyo pia ni njia mojawapo so usikariri, cha msingi ujumbe umefika nawe ni mmoja wa walioguswa, so nashukuru haujatoka kapa.
 
Hahahaaaaa! My kaka sikosekani aisee, naangalia tu jinsi watu wanavyotiririka, huyu nyakoo kanikosha ningempa soda sema ndio basi tena nami mchunguuu kwenye hela yangu, teh teh teh.

Kweli kabisa kaangusha point za maana, sema wa kuelewa ndo hamna, lara 1 anasemaga wanaume wa siku hizi ni Legelege United, hawajielewi wanalia lia tu na kupenda mtelemko ka wanawake

Na wewe unasemaga si bora waje tu muolewe pamoja, loh!!! nachekaga balaaa

BUT ni ukweli usiopingika kwamba kuna wanaume wachache sana wanaojitambua, the rest ni magumegume

Mwagizie nyakoo japo kiofa cha azam cola ya mia tano bana nakuja kulipa
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida kwenye kona. Dah... unatabirika kiurahisi mno nyakoo! Mbona unajumuisha sana? But then, kama nilivyokushauri, jiboreshe!!

Nimekujumuisha wewe na wenzio mliokimbilia kunijadili mimi ili kujifariji ila bado haijaondoa ukweli kuwa imewafikia kadri ya malengo, hayo mengine ni kujifariji tu.
 
Hongera kwa kupata kibabu kilichotelekeza familia yake...... Umekubali kua mchepuko wa kizee kisa bwanaako hapa peii
 
Yaani we acha tu my kaka, amenikosha kweli, hapo kama naona wengine wanavyopita na booonge la msonyo!! Kwi kwi kwiiii.

Hapo mwisho ndio maneno sasa kumbe unalipa eeh? Safi sana, sasa nyakoo chukua azam cola hapo kwa mangi kaka yangu mito anakuja kulipia.
 
Last edited by a moderator:

1) Umechukua sample ya wanaume wangapi ukaconclude its a severe issue?
2)Tupe quantitative evidence.
3)Unajuaje tatizo halichangiwi na upande wa pili?
4) Na kama kweli ni severe unajaribu kuclaim hapa kwamba generally wanawake ndo watafutaji kwa kiasi kikubwa kuliko wanaume?
5) Na kama wanawake ndo watafutaji kuliko wanaume, then how come u also claim wanawake huwafata wanaume wenye hela? Where do those men come from then?

Hizi habari za kutuletea habari za mtaani kwako uswazi huko tudiscuss zinachosha....
 
Hahahaaaa! Hasante sana mito yaani hili ni janga alafu hawataki kuambiwa ukweli, tena wanataka waambiwe kwa kubembelezwa kweli!!! Minunda mingine hivi ndio wanakwenda.
 
Last edited by a moderator:
una hoja nyingi tu nzuri,lakini haukuchagua namna bora ya kuziwasilisha,utaambulia kejeli na dhihaka.
Wanaume kwa nafasi yao wanapaswa kukumbuka nafasi zao hali kadhalika wanawake,kila nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio yupo mwanamke mmoja mwerevu(kwa uzi huu wa leo nahisi wewe hauko kwenye kundi hilo,lakini bado una nafasi ya kuwa mwanamke mwerevu).
Jamii yetu tutaisaidia tutakapoamua kuchukua nafasi zetu kwa usahihi,wanaum kwa wanawake,hamna anayenufaika kwa hali ilivyo sasa kwa wengi wetu(wa kiume/ wa kike).
 
Hongera kwa kupata kibabu kilichotelekeza familia yake...... Umekubali kua mchepuko wa kizee kisa bwanaako hapa peii

Si unaona sasa akili zenu zinapoishia! Hebu tanueni akili hizo muwe wanaume lasivyo mtaendelea kutuonea wivu hivyo hivyo, vipi unahitaji nafasi ya mke mwenza??
 
Hahahaaaa! Nataka ulipie wewe lol, acha ubahiri bwana weee ka mia5 tu!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…