- Thread starter
- #101
Kwa aya moja, hayo uliyoandika ni mengi sana. Hata hivyo, hayasaidii mada yako kuboresha wanaume. Sana yanazidi kuonyesha kuna kitu zaidi ya unachohubiri. Sasa matusi yooote ili iweje? Ni rahisi kumtoa mtu kijijini ila ni ngumu sana kutoa kijiji ndani ya mtu!!
Narudia, uwasilishaji wako wa mada na unavyojibu vinakuakisi kuliko ambavyo unavyodhania. Na hufananii na mtu wa kushauri mario tubadilike. Tutaendelea kuwa mario sanaaaaaaaaa........ maana hakuna namna ingine tena
Oooooh hatimae umekubali kuwa umeolewa and yo okey with it, basi sawa bibie, ila ujumbe umeupata. Kama unaona ni ukijijini basi kuolewa kwema wa mjini.