- Thread starter
-
- #161
Time will have better definition of you madam.
Dua la kuku hilo nakwambia, i wish ningekualika kwetu uone tunavyoishi angalau kwa mwezi tu, sie tuko real hatufake chochote na hatukujuana jana, we have a strong bond haswaa, am a blessed woman to have such a gentleman as a huby ni jukumu langu kuhakikisha he is happy always na siwi chanzo au kikwazo cha furaha yake, nampa kila saport anayopaswa kuipata kwa mkewe with great love and trust, mafanikio yetu yamechangiwa nasi wote kwa kumtegemea sana Mungu na kuput efforts in what we do, and it has payed alot,
ila mind you alikuwa na efforts na imani sana katika kuzisaka hata kabla hajakutana nami, so i was lucky kumpata wa hivi, nanyi hamjachelewa acheni kulalamika wekeni juhudi na sala ktk mfanyayo nanyi mtafanikiwa, no one ever succeded kwa kukaa na kulalamika, you get out there sweat alot and yo gona reach wr you wish to. Sio ukae usubiri uoe ndio eti utafute kisingizio eti sijui kila suceesfull man kuna woman behind, anza kwanza kwa efforts ukimpata mke anakuwa ni bonus ya kukupush zaidi maana ukibweteka hivyo ukimsubiri eva ndio mnaishia kuolewa sasa.