Wanaume: You have to grow up

Wanaume: You have to grow up

Time will have better definition of you madam.

Dua la kuku hilo nakwambia, i wish ningekualika kwetu uone tunavyoishi angalau kwa mwezi tu, sie tuko real hatufake chochote na hatukujuana jana, we have a strong bond haswaa, am a blessed woman to have such a gentleman as a huby ni jukumu langu kuhakikisha he is happy always na siwi chanzo au kikwazo cha furaha yake, nampa kila saport anayopaswa kuipata kwa mkewe with great love and trust, mafanikio yetu yamechangiwa nasi wote kwa kumtegemea sana Mungu na kuput efforts in what we do, and it has payed alot,

ila mind you alikuwa na efforts na imani sana katika kuzisaka hata kabla hajakutana nami, so i was lucky kumpata wa hivi, nanyi hamjachelewa acheni kulalamika wekeni juhudi na sala ktk mfanyayo nanyi mtafanikiwa, no one ever succeded kwa kukaa na kulalamika, you get out there sweat alot and yo gona reach wr you wish to. Sio ukae usubiri uoe ndio eti utafute kisingizio eti sijui kila suceesfull man kuna woman behind, anza kwanza kwa efforts ukimpata mke anakuwa ni bonus ya kukupush zaidi maana ukibweteka hivyo ukimsubiri eva ndio mnaishia kuolewa sasa.
 
Nitakuja kueleza kwa kirefu kuhusu hilo ngoja nielekee siasani maana huko Zanzibar Jecha salim Jecha keshatuchanganya. Atafutaje Matokeo Wakati hajaitisha Hata Kikao?

Kama Wewe Unavyowaza Kuolewa na Wanaume Wenye Pesa Ndivyo na Sisi tunavyowaza Kuoa Wanawake Wenye Uwezo.

NITARUDI NIKITOKA ZANZIBAR

Kwahiyo huko siasani ndio unamfuata jecha??

Ukiona mwanaume anawaza hivyo ni wa kukimbia na kuogopa maana hajatimiza sifa za mwanaume, work hard usifikirie hilo ila ikitokea inakuwa ni bonus, type hii ya wanaume ndio kama ileee ya yule mwenzio aliyekuja humu kulaumu eti wakwe zake hawamsaidii wakati wana uwezo, daaaaamn!!!
 
Hii inamuhusu kila mwanaume, maana mnaishia kuwarithisha watoto wenu wa kiume uvivu wenu nao wanakuwa wa kulalama tuuuuuu hawataki kazi, so kama unahisi haikuhusu jiulize tena, alafu yaweza kuwa inamuhhsu mdogo wako, jirani yako, binamu yako,mwanao nk, so still una wajibu wa kufanya.

Kwaiyo hata mmeo inamhusu
 
Tatizo la mademu wa kibongo ni kuendekeza maigizo yasio na msingi,mtoa mada yaonesha we sio mtu wa kuridhika na kidogo but endelea na tamaa zako.Kwa niaba ya sie tusio na pesa tumekusikia tutabaki na maskini wenzetu mpaka tutapokifikia kilele cha mafanikio,i won't let down my ride or die bebe,super legit woman!
 
Kwa sisis wataalam wa kugundua watu kutokana na miandiko au aina ya uandikaji wao mitandaoni tunaweza kutofautisha kati ya mwanamke malaya anaishi kwa kutegemea **** yake na tigo yake vimlishe na mwanamke anaetegemea akili yake kuishi.

Mtoa mada ni aina ya wanawake wanaoishi kwa kutegemea **** na tigo vimlishe na kumuweka mjini. Mtu yoyote anaefirw.a lazima ataandika mada kama hii.

hahahahahahah,hii tathmini nina uhakika itakuwa 90% katika 100%
 
Hii thread ni nzuri na unaweza jifunza mengi tu ila tatizo wanaume wa humu ni full ubishi. As a woman, nimegundua Kua wanaume wengi (sio wote), ni vivulana tu ila hawalijui Hilo. Kujiongeza ni muhimu sana katika Maisha. Kua na wivu wa maendeleo ni muhimu pia. Mtu Unaishi from paycheque to paycheque, una mke na watoto, bado huoni Umuhimu wa kutafuta vyanzo vingine vya kukuongezea kipato. Mshahara ukichelewa siku 2 tu, unahaha. Ukiambiwa, unakuja juu

We kwa nini usiboost kipato apart from paycheque ya mwanaume wako instead ya kumlaumu tu.You aren't his daughter anyway!
 
Uwasilishaji wake hi topic niwakihuni na aliyewasilisha amezoea maisha ya kuchuna mabuzi
 
Kweli kabisa kaangusha point za maana, sema wa kuelewa ndo hamna, lara 1 anasemaga wanaume wa siku hizi ni Legelege United, hawajielewi wanalia lia tu na kupenda mtelemko ka wanawake

Na wewe unasemaga si bora waje tu muolewe pamoja, loh!!! nachekaga balaaa

BUT ni ukweli usiopingika kwamba kuna wanaume wachache sana wanaojitambua, the rest ni magumegume

Mwagizie nyakoo japo kiofa cha azam cola ya mia tano bana nakuja kulipa

Wanawake wa siku hizi mnachagua mno yani tofauti na mama zetu ambao walijali upendo zaidi huku wakiamini maisha ni kutafuta hivyo walizaa na baba zetu bila kujali kwamba walikuwa na hela au laa.Hebu fikiri kuna waliozaa na baba zetu ambao asilimia kubwa walikuwa wakulima duni,mafundi mwashi,wachimba mitaro,mafundi cherehani,wauza maduka,washona viatu.Mama zetu waliridhika kwa upendo wa dhati waliokuwa nao kwa baba zetu ingawa mikwaruzano ilikuwepo mingi pia ikiwemo mama zetu kudundwa na kiukweli kipato kilikuwa chatosha kula tu na kuishi maisha ya kawaida.Wengine mama zetu walijituma kuongeza kipato cha familia kwa kuchuuza mboga mboga ikapelekea sie tukasoma mpaka tukafikia kuwa na ajira zenye tija maofisini.Leo hii inashangaza sana kwamba hamna mwanamke anaeridhika na maisha ya kawaida kama enzi za wazazi wetu.Wengi mnahubiri pesa tu mashopping ya gharama,nywele na mapambo ya thamani mnayoona tokea nchi za magharibi kitendo kinachopelekea kuwa mnawinda wanaume wenye kipato kizuri tu na kuwaabudu huku wale walioko chini ama katika hali ya utafutaji kuonekana wanaumwa visukari na kejeli lukuki kuwa bado wavulana.Natamani sana kama mngerejea katika misingi ya wazazi wenu ila sina namna zaidi ya kuwasihi mujitahidi kubadilika japo kidogo tu
 
Last edited by a moderator:
Umeandika as if una personal attack, acha kuishi kwa stress wewe! Mmeudhiana huko unakuja kurelease tension yako Jf upuuzi mtupu.
 
Kwahiyo huko siasani ndio unamfuata jecha??

Ukiona mwanaume anawaza hivyo ni wa kukimbia na kuogopa maana hajatimiza sifa za mwanaume, work hard usifikirie hilo ila ikitokea inakuwa ni bonus, type hii ya wanaume ndio kama ileee ya yule mwenzio aliyekuja humu kulaumu eti wakwe zake hawamsaidii wakati wana uwezo, daaaaamn!!!
Huyo atakuwa sio mwanaume lijali kwa kuwa amekiuka ile miiko kumi ya mwanaume lijali.

Nitarudi tena bibie
 
Mlipa kodi ame kukimbia nini???? Na nyie wanawake ustaarbu wenu ni sifuri....
 
Habari wana jf, poleni kwa shughuli za ujenzi wa taifa.

Huku mkiendelea kupokea matokeo ya uchaguzi, naomba niongelee jambo moja la msingi ambalo nimekuwa nkilishuhudia katika jamii zetu na hata humu jf ni very common.Wanaume mmekuwa kama mmepatwa sijui na pepo gani! Yaani ni kama nanyi mnataka kuolewa, mmekuwa watu wa kulalamika tuuuuuuu, kazi hamtaki na hata wenye kazi akili zimekuwa mgando anategemea mshahara mdogooo hata hajitanui kimawazo kusaka hela zaidi, au kazi yenyewe anafanya kivivuuuu muda mwingi yupo kwenye mitandao ya kijamii kujibizana na kutukanana na watu asiowafahamu na wivu usio na mpango kwa waliomzidi kipato.

Imefikia hatua mwanaume anamuonea wivu binti mdogo aliyeolewa na mwanaume (wa makamo) mwenye pesa, utakuta wamekaa wakimjadili binti na hata kumtukana na kuwachanganya wanawake woote kuwa wanapenda pesa (who doesnt), badala wakae wajiulize ni kwa namna gani huyo mwanaume mwenzao amefanikiwa kiasi hicho nao wajitahidi wamfikie au hata kumpita wamekalia majungu tuuuuuuu!! Utasikia mara free manson,mara pesa za madawa (maneno ya wakosaji).

Ni kweli kwamba maisha magumu and so on, ila isiwe excuse ya kuwafanya muwe marioo bila kujijua, wanaume wengi ni marios ila hawajijui tu, sasa si bora mijitanabaishe tuolewe wote tu na sio kuwa walalamishi that much, ni aibu sana tena sana kwakweli.Msije kujifanya hapa sijui wanawake tunapenda mteremko ndio maana tukaitwa wanawake nanyi wanaume, sisi ni jukumu lenu, sasa mambo yamebadilika siku hizi nasi tunafanya kazi ili tusaidieane ila sasa isiwe ndio chance ya nyie kubweteka na kuwa marioo, mwanaume lazima uwe "MWANAUME" hii itakupa heshima bila hataaa kutumia nguvu kuidai.

You have to man up na mchukue nafasi zenu kama wanaume, kulalamika hakutokufanya uwe Bakhressa au Mengi, wivu pekee unaotakiwa kuwa nao ni wa kupiga hatua na sio kumuonea wivu K'lyn kwa kuolewa na Mengi (vipi wataka kuwa mke mwenzie?)

Nawasilisha, likikugusa waruhusiwa kutukana si ndicho mkijuacho zaidi.

Wamefikishwa hapa na serikali ya ccm.
 
(Wee kwa nini usiboost kipato apart from paycheque ya mwanaume wako instead ya kumlaumu tu.You aren't his daughter anyway!)

sijawahi Kua na mwanamme wa aina hio. Nimeanza isaka pesa nikiwa na Umri wa miaka 10, (yes, age 10), Na soma na bado nafanya vi biashara vidogo vidogo, and since then mie siku zote ni mtu wa kujiongeza when it comes to hustling. Hata Wakati nimeajiriwa, I was always hustling on the side ili niongeze kipato.
Ila society ya sasa Imejaa wanaume wasiopenda kujiongeza. mshahara hautoshi, Ana mke na watoto, hafikirii hata nifanye nini cha pembeni ili niongeze kipato, kila kukicha ni kulalamika tu Maisha magumu. Such men simply need to get off their lazy asses and wajiongeze. Sio kulalamika tu usiku kucha. Kuitwa mwanamme sio kitu kidogo ati, wewe ndio head of family, na hicho sio cheo kidogo.
 
Habari wana jf, poleni kwa shughuli za ujenzi wa taifa.

Jamani ni kama nanyi mnataka kuolewa, mmekuwa watu wa kulalamika tuuuuuuu, kazi hamtaki na hata wenye kazi akili zimekuwa mgando anategemea mshahara mdogooo hata hajitanui kimawazo kusaka hela zaidi, au kazi yenyewe anafanya kivivuuuu muda mwingi yupo kwenye mitandao ya kijamii kujibizana na kutukanana na watu asiowafahamu na wivu usio na mpango kwa waliomzidi kipato.

Imefikia hatua mwanaume anamuonea wivu binti mdogo aliyeolewa na mwanaume (wa makamo) mwenye pesa, utakuta wamekaa wakimjadili binti na hata kumtukana na kuwachanganya wanawake woote kuwa wanapenda pesa (who doesnt), badala wakae wajiulize ni kwa namna gani huyo mwanaume mwenzao amefanikiwa kiasi hicho nao wajitahidi wamfikie au hata kumpita wamekalia majungu tuuuuuuu!! Utasikia mara free manson,mara pesa za madawa (maneno ya wakosaji)

You have to man up na mchukue nafasi zenu kama wanaume, kulalamika hakutokufanya uwe Bakhressa au Mengi, wivu pekee unaotakiwa kuwa nao ni wa kupiga hatua na sio kumuonea wivu K'lyn kwa kuolewa na Mengi (vipi wataka kuwa mke mwenzie?)

Nawasilisha, likikugusa waruhusiwa kutukana si ndicho mkijuacho zaidi.

Hapo kwenye blue, je unataka tuamini kwamba hizo ndio tabia za watu walioolewa? Nyumbani kwenu mama yako ndio zilikuwa tabia zake hizo?

Pili, unapozungumzia "majukumu yenu" unamaanisha nini hasa katika dunia ya sasa?

Tatu, wewe umefanya nini ili kupata drastic improvement katika Hali yako kiuchumi? Au unamsubiri mengi na wewe?

Nne, kuna utofauti mkubwa endapo ungeandika mada hii ukiwa kama mke halali wa mtu na sio kimada (nyie mnaita gelofrendi)

"seeing is deceiving, dreaming is believing,, it's OK not to be ok"
 
Wanawake wa siku hizi mnachagua mno yani tofauti na mama zetu ambao walijali upendo zaidi huku wakiamini maisha ni kutafuta hivyo walizaa na baba zetu bila kujali kwamba walikuwa na hela au laa.Hebu fikiri kuna waliozaa na baba zetu ambao asilimia kubwa walikuwa wakulima duni,mafundi mwashi,wachimba mitaro,mafundi cherehani,wauza maduka,washona viatu.Mama zetu waliridhika kwa upendo wa dhati waliokuwa nao kwa baba zetu ingawa mikwaruzano ilikuwepo mingi pia ikiwemo mama zetu kudundwa na kiukweli kipato kilikuwa chatosha kula tu na kuishi maisha ya kawaida.Wengine mama zetu walijituma kuongeza kipato cha familia kwa kuchuuza mboga mboga ikapelekea sie tukasoma mpaka tukafikia kuwa na ajira zenye tija maofisini.Leo hii inashangaza sana kwamba hamna mwanamke anaeridhika na maisha ya kawaida kama enzi za wazazi wetu.Wengi mnahubiri pesa tu mashopping ya gharama,nywele na mapambo ya thamani mnayoona tokea nchi za magharibi kitendo kinachopelekea kuwa mnawinda wanaume wenye kipato kizuri tu na kuwaabudu huku wale walioko chini ama katika hali ya utafutaji kuonekana wanaumwa visukari na kejeli lukuki kuwa bado wavulana.Natamani sana kama mngerejea katika misingi ya wazazi wenu ila sina namna zaidi ya kuwasihi mujitahidi kubadilika japo kidogo tu

Unaposema tunachagua sana ulitaka tujibebee tu vimeo? Ushasema wanawake wa siku hizi, that means time has changed right? Huwezi linganisha maisha ya bibi zetu na sasa, after all hawakuwa na options(walilazimishwa) ila pia wanaume kwa kiasi kikubwa walijitambua, kwasasa kuna mengi ya kuzingatia kabla haujatengeneza familia(je unamudu majukumu hayo?) Jukumu la kutunza familia ni la mwanaume, hivyo mwanaume kama kichwa cha familia watakiwa uwe kichwa kweli na sio kukaa ukilalama tu na kutegemea mkeo ayachukue majukumu yako
 
Tatizo la mademu wa kibongo ni kuendekeza maigizo yasio na msingi,mtoa mada yaonesha we sio mtu wa kuridhika na kidogo but endelea na tamaa zako.Kwa niaba ya sie tusio na pesa tumekusikia tutabaki na maskini wenzetu mpaka tutapokifikia kilele cha mafanikio,i won't let down my ride or die bebe,super legit woman!

😱:what::what: hivi unaanzaje kuridhika na kidogo? Kamwe siwezi kuridhika na kidogo thats why nimefikia nilipofikia, kama umeamua kuwa masikini thats totaly yo fault dont blame it on ladies maana hakuna atakae kuwa masikini.
 
Uwasilishaji wake hi topic niwakihuni na aliyewasilisha amezoea maisha ya kuchuna mabuzi

Uandishi huu ni wa kihuni na inaonyesha uliyecoment hapa utakuwa kati ya wanaohusika na mada.
 
Umeandika as if una personal attack, acha kuishi kwa stress wewe! Mmeudhiana huko unakuja kurelease tension yako Jf upuuzi mtupu.

Oooops!! My bad......
Ila ujumbe umeupata eti? Thats was the intetion though.
 
Mlipa kodi ame kukimbia nini???? Na nyie wanawake ustaarbu wenu ni sifuri....

Mlipa kodi wa nini labda? Mume wangu anaanzaje kunikimbia labda? Till death do us apart.
 
Back
Top Bottom