Unapomfukuzia mwanamke kuwa makini sana na jibu lake la kwanza kutolewa kinywani mwake.
Ukikataliwa, ukipewa excuse, ukiambiwa "mimi sikupendi", ukiambiwa "shika adabu yako", ukiambiwa "aku mm nina mtu wangu" ama jibu lolote linalofanana na hayo LIHESHIMU. Ukikomaa utakuwa na mpenzi ama mke asiyekupenda.
Wanawake ni wanadamu pia, wana machaguo ya mwanaume wanayemtaka moyoni na akilini mwao. Kwahiyo ukipendwa na mwanamke hutapewa kamwe majibu hayo hapo juu. Utapewa NDIYO ya moja kwa moja
Ukimkomalia ama kuendelea kumshawishi kwa mali na fedha basi atavutiwa na mali na fedha lkn wewe ulishakataliwa na kamwe hutapendwa.
Namalizia kwa kuwatakeni wanaume muache kuwa ving'ang'anizi. Mwanamke anayekupenda hutatumia nguvu kumpata.