Mwambie aache ujinga acontrol hisia zake wako wengi wa kuwapenda.
kumtamani sio kosa....kosa ni huko kutaka kujaribu hicho anachokiita bahati yake....mwambie amuheshimu kaka yake na amuogope Mungu.
kuhusu akili za baadhi ya wanaume,usitake kabisa kuzitafakari utaishia kufa hujafika loliondo kwa babu.....sio kabisa na kwenye ishu hizo baadhi/wengi wao akili huamia sehemu ya chini ya kiuno!!!
kumtamani sio shida, unaweza sana. Ila inabidi udhibiti tamaa zako...πanda:Wanajamvi, kuna kijana mmoja anasema, eti ametokea kumpenda sana mpenzi wa kaka yake, amejaribu kujizuia ameshindwa hivyo anataka ajaribu bahati yake kwa huyo mpenzi wa kaka yake! Sasa jamani, baadhi ya wanaume wanaakili kweli? Utawezaje kumtamani mpenzi wa kaka yako tena wa kuzaliwa? Ni laana au!!!!!!!!!!!!!!?πanda:πanda:
For **** sek
What the **** is this
tukusaidie nini tu hapa..?
He need to grow up
And stop that nun sense....
πanda:Wanajamvi, kuna kijana mmoja anasema, eti ametokea kumpenda sana mpenzi wa kaka yake, amejaribu kujizuia ameshindwa hivyo anataka ajaribu bahati yake kwa huyo mpenzi wa kaka yake! Sasa jamani, baadhi ya wanaume wanaakili kweli? Utawezaje kumtamani mpenzi wa kaka yako tena wa kuzaliwa? Ni laana au!!!!!!!!!!!!!!?πanda:πanda:
Wakati mwingine huambiwa akili zao hazina akili...Kuna watu akili zao huwa ni ngumu kufanya kazi :embarassed2:
Michelle, kutamani si kwamba ni kosa tu bali ni dhambi!! Kama tumeamriwa kutotamani mke wa jirani yako, je wa kaka yako (hata kama bado si mke) si ni zaidi?