Wanaungwana nisaidieni

Wanaungwana nisaidieni

sir mushi

Senior Member
Joined
May 26, 2013
Posts
143
Reaction score
52
naombeni mnitajie vyuo 5 bora hapa tz ambavyo viko serius na elimu
 
sawa lakini sizani kama unahitaji msaada au unataka anzisha ligi kama wanavoanzisha watu maada za kushindanisha vyuo na kusema kingine ni bora kuliko kingine,ila vyuo ambavyo vinasemekana ni bora ni vile vinavyomilikiwa na umma na vikifuatiwa na vile binafsi, lakin kwa mtazamo wangu vyote sawa tu ilimradi vinatambuliwa na tcu,hivyo ,pia inategemeana unakwenda kusoma kitugani chuo ,kama unaweza na unauwezo waweza kwenda sua,udsm,mzumbe,muhas,ardhi.lakni ukikurupuka utarudi home,hivyo vipo serious kweli,na wana assume wanafunzi wanaodahiliwa huko ni wenye background nzuri accademically so wanafundisha kiutu uzima zaidi.mf unaweza pigiwa topic mbili zilizoshiba kwa masaama 2 ukatamani kuhama.best wishes. haya ni maoni tu,ngoja waje na wengine wakupe maoni yao.
A%20S-confused1.gif
 
fafanua unataka kusomea mambo gani na ngazi ipi,kama huwezi kusema hivyo basi tutashindwa kukushauri vzuri.
 
mimi chuo ambacho nakijua vizuri na kiko poa academically ni Havard ya Tz(UDSM),tokeo lako zuri ndo litakufanya uchaguliwe hapa
 
Back
Top Bottom