Wanavijiji Tanzania wacharangana mapanga kisa ardhi

Wanavijiji Tanzania wacharangana mapanga kisa ardhi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wanavijiji 11 Mbeya, Tanzania wajeruhiwa baada ya vita kuibuka kisa mzozo wa ardhi baina ya wakulima.

Nilishalisema hili, raslimali zikipungua watu huanza kuonana wabaya, hili nilijaribu kulisema kwenye ule uzi unaozungumzia kuhusu Wanijeria kufukuzwa Afrika Kusini, niliposema mgeni usijimix na kusahau ulikotoka mdau Eyce akang'ang'ania kwamba kwa Tanzania haiwezekani, maana wao ni wakarimu kwa wageni, sasa hebu waza hapa Watanzania wenyewe kwa wenyewe wanatembezana mapanga kwa mgogoro wa ardhi, je hapo angekua ni mgeni asiye Mtanzania yapi yangemkuta.

Kumbuka huu sio hata ugomvi wa wafugaji dhidi ya wakulima, ila wakulima kwa wakulima, ilhali nchi yao imejaa mapori mengi ambayo hayajalimwa.


-------------------

Mbeya. Eleven people have been injured during a fight between Msesule villagers in Mbarali district following a land conflict.
The incident occurred on Friday, when Msesule villagers attacked farmers, who are under Mahalala irrigation scheme. The farmers were clearing a 300 hectares farm, when the chaos erupted.

Acting Mbeya Regional Police Commander Mr Jerome Ngowi confirmed the incident during a Press Conference.
According to the RPC police are holding eight people in connection to the incident. Mr Ngowi said the villagers and farmers have been embroiled in land conflict, which has persisted for a long time.
 
Haya mambo yapo tu yapo tu kila mahali
Unakuta jamaa wengine niwakorofi wanaingia sehemu ya mwingine wanaanza kujidai wabishi tu wabishi tu Mkuu
 
Sasa Tanzania utaifananisha na Kenya Kwa ukubwa wa ardhi?
hao wanaopigana ni mapenzi Yao.
Tanzania ina ardhi kubwa.
That you should first take the beam out of your own eye, and then you will see clearly how to remove the splinter from your brother's eye.
 
Sasa Tanzania utaifananisha na Kenya Kwa ukubwa wa ardhi?
hao wanaopigana ni mapenzi Yao.
Tanzania ina ardhi kubwa.
Haya ni mawazo ya kijinga kabisa,hata Marekani wanapigana juu ya ardi lakini nchi yao ni mara kumi na moja ya Tanzania.
 
Haya ni mawazo ya kijinga kabisa,hata Marekani wanapigana juu ya ardi lakini nchi yao ni mara kumi na moja ya Tanzania.
Umekurupuka, ndio jibu kapewa mwenzio. Labda huelewi lugha.
 
Back
Top Bottom