Wanavyuo, kwanini huwa mnaona noma kutaja majumbani kwenu?

Mngejua hao mnaowababaikia wanashindia supu ya utumbo wa kuku na machapati.... Walahi msingefanya huo ujinga.
 
Wana Tabu masister duu wengine hata hizo likizo hawaendi kwao coz wanataka Kubaki mijini
Wanaona kwao hakufai matokeo yake wanafanya shughuli haramu ili waweze kujikimu
 
arusha nan atakuhonga 100,000
Mwanza nani atakupa lift ya alteza,mark x, subaru,.vitz
mikoani nan utamvalia milegezo.na.vimini zaidi ya kukuona mshamba
Wewe njoo miji ya dhahabu uone matusi yani unaongelea mark x, subaru, alteza eti na vitz unahesabu gari. Huku hayo ni magari ya vijana wadogo ambao hawajashika dhahabu sawasawa. Unaawajua makota wewe?

Mi nilitegemea uniambie lifti za Ferrari, Lamborghini, Chevrolet, GMC au Cadilarc. Wewe unaongelea vitz hiyo gari jamaa yangu alimhonga dem wa SAUT na kumtema siku hiyo hiyo
 
Good morning....
Enzi hizo naanza chuo nlikua nashangaa kila mwana chuo anasema kwao dar, mtu anaongea lafudhi yani kisukuma cha ndani kabisa huko mwamashimba ila ukimuuliza kwao anasema dar tena anajitahidi na kumix kidogo lafudhi ya dar mi naiita kuvunja nazi..... Hiyo mixer ya kisukuma plus kuvunja nazi sasa mweh!!!

Juzi nlikutana na masista duu wa chuo, tunafamiana wakawa wananiaga wanaenda likizo, wa kwanza nikamuuliza home wapi, akajibu naenda dar af kesho kutwa narudi, nikamuuliza kwanini unarudi soon akasema narudi afu ndo naenda home Arusha. Dar kunani huko nami nije? Mtu anaona noma kusema arusha kisa dar?

Wa pili sasa lol nae nikamtel safari njema home wapi, akajibu napita dar kwanza nisipoenda itakua lawama, Ha ha nkauliza tena so home wapi nkaona sura yake imenyong'onyea, imejaa wasiwasi, kwa sauti ya chini akajibu nikitoka dar naenda kigoma kwa mama nilijizuia tu kucheka ila kweli ilinichekesha sana.

Jamani dar kuna nini huko? Wahenga walisema mkataa kwao mtumwa. Wasomi tabia mbaya hiyo kwani ukisema kwenu mwamashimba kuna ubaya gani?
wanavyuo nawatakia likizo njema, BILA SHAKA WOTE MPO NDANI YA SHABIBY KWENDA DAR HAKUNA ALIEPANDA SARATOGA YA KIGOMA LOL
Duuh Cheka sana, enheee na wewe kwenu wapi mkuu.
 
Serious huo ni ujinga,me nilikua proud kusema natokea wapi,hadi malecturer baadhi walijua nakotokea,raha sana.
 
Hahahaaa nimependa ulivyo pamba hilojina la huko kwenu eti call me j, "colomije"

Unamjua bashite?.
Bashite ni rafiki angu,jembe langu tumesoma wote na ndo nlikua namuangalizia kwenye Pepa 😀
 
Good morning....
Enzi hizo naanza chuo nlikua nashangaa kila mwana chuo anasema kwao dar, mtu anaongea lafudhi yani kisukuma cha ndani kabisa huko mwamashimba ila ukimuuliza kwao anasema dar tena anajitahidi na kumix kidogo lafudhi ya dar mi naiita kuvunja nazi..... Hiyo mixer ya kisukuma plus kuvunja nazi sasa mweh!!!

Juzi nlikutana na masista duu wa chuo, tunafamiana wakawa wananiaga wanaenda likizo, wa kwanza nikamuuliza home wapi, akajibu naenda dar af kesho kutwa narudi, nikamuuliza kwanini unarudi soon akasema narudi afu ndo naenda home Arusha. Dar kunani huko nami nije? Mtu anaona noma kusema arusha kisa dar?

Wa pili sasa lol nae nikamtel safari njema home wapi, akajibu napita dar kwanza nisipoenda itakua lawama, Ha ha nkauliza tena so home wapi nkaona sura yake imenyong'onyea, imejaa wasiwasi, kwa sauti ya chini akajibu nikitoka dar naenda kigoma kwa mama nilijizuia tu kucheka ila kweli ilinichekesha sana.

Jamani dar kuna nini huko? Wahenga walisema mkataa kwao mtumwa. Wasomi tabia mbaya hiyo kwani ukisema kwenu mwamashimba kuna ubaya gani?
wanavyuo nawatakia likizo njema, BILA SHAKA WOTE MPO NDANI YA SHABIBY KWENDA DAR HAKUNA ALIEPANDA SARATOGA YA KIGOMA LOL
Wala ADVENTURE
 
Back
Top Bottom