Cephalocauda
Member
- Jul 31, 2015
- 62
- 14
Wewe njoo miji ya dhahabu uone matusi yani unaongelea mark x, subaru, alteza eti na vitz unahesabu gari. Huku hayo ni magari ya vijana wadogo ambao hawajashika dhahabu sawasawa. Unaawajua makota wewe?arusha nan atakuhonga 100,000
Mwanza nani atakupa lift ya alteza,mark x, subaru,.vitz
mikoani nan utamvalia milegezo.na.vimini zaidi ya kukuona mshamba
Duuh Cheka sana, enheee na wewe kwenu wapi mkuu.Good morning....
Enzi hizo naanza chuo nlikua nashangaa kila mwana chuo anasema kwao dar, mtu anaongea lafudhi yani kisukuma cha ndani kabisa huko mwamashimba ila ukimuuliza kwao anasema dar tena anajitahidi na kumix kidogo lafudhi ya dar mi naiita kuvunja nazi..... Hiyo mixer ya kisukuma plus kuvunja nazi sasa mweh!!!
Juzi nlikutana na masista duu wa chuo, tunafamiana wakawa wananiaga wanaenda likizo, wa kwanza nikamuuliza home wapi, akajibu naenda dar af kesho kutwa narudi, nikamuuliza kwanini unarudi soon akasema narudi afu ndo naenda home Arusha. Dar kunani huko nami nije? Mtu anaona noma kusema arusha kisa dar?
Wa pili sasa lol nae nikamtel safari njema home wapi, akajibu napita dar kwanza nisipoenda itakua lawama, Ha ha nkauliza tena so home wapi nkaona sura yake imenyong'onyea, imejaa wasiwasi, kwa sauti ya chini akajibu nikitoka dar naenda kigoma kwa mama nilijizuia tu kucheka ila kweli ilinichekesha sana.
Jamani dar kuna nini huko? Wahenga walisema mkataa kwao mtumwa. Wasomi tabia mbaya hiyo kwani ukisema kwenu mwamashimba kuna ubaya gani?
wanavyuo nawatakia likizo njema, BILA SHAKA WOTE MPO NDANI YA SHABIBY KWENDA DAR HAKUNA ALIEPANDA SARATOGA YA KIGOMA LOL
Kwetu call me J wenyewe tunapaitwa koromijeDuuh Cheka sana, enheee na wewe kwenu wapi mkuu.
Phrase hii "education makes people more stupid" nimeipenda sana. Hasa nikikumbuka stupidity ya Bwana Yule, Prof wa Uchumi, LipumbaHa ha ha kweli "education makes people more stupid"
Nasubiri hizo namba πPhrase hii "education makes people more stupid" nimeipenda sana. Hasa nikikumbuka stupidity ya Bwana Yule, Prof wa Uchumi, Lipumba
Evelyn Salt unatumia mtandao gani niku PM hata namba za vocha?
Hahahaaa nimependa ulivyo pamba hilojina la huko kwenu eti call me j, "colomije"Kwetu call me J wenyewe tunapaitwa koromije
Bashite ni rafiki angu,jembe langu tumesoma wote na ndo nlikua namuangalizia kwenye Pepa πHahahaaa nimependa ulivyo pamba hilojina la huko kwenu eti call me j, "colomije"
Unamjua bashite?.
[emoji125] [emoji125] hahaa daah mimi nduki bwana, kolomije hoyee.Bashite ni rafiki angu,jembe langu tumesoma wote na ndo nlikua namuangalizia kwenye Pepa π
Wala ADVENTUREGood morning....