Wanavyuo magamba akili zenu vipi.

Wanavyuo magamba akili zenu vipi.

Sir R

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
2,175
Reaction score
300
Wanachama wa CCM vyuo vikuu, msingepata elimu hiyo mgekuwa watu wa namna gani ? Pamoja na kuwa na elimu ya chuo kikuu bado mnashabikia mafisadi ndani nchi hii.

Uwepo wenu hapa Tz hauna mantiki maana mnaturudisha katika mateso ya umasikini. Heri msingesoma kabisa, mnadhalisha vyuo vyetu..

Elimu kwenu haina maana, haiwasidii kujuu ukweli zaidi ushabiki wa kifisadi. Hakuna heshima kwenu , ni aibu tu. Heri watoto wa primary school kuliko anayejiita UVCCM chuo kikuu.

Akili huongoza mwili na siyo mwili kuongoza akili.
 
Ndugu yangu umenena ukweli mtupu na ninakuunga mkono 100%! Vyuo vyetu vinalea mafisadi wa baadaye na siyo wakombozi wa hili taifa!
Ee Mwenyezi Mungu saidia hili taifa kwani watu wake wanaangamia kwa kukosa maarifa!
 
watakuwa wamelogwa tena mwalimu wao alikuwa kipofu so mda huu na elimu ya chuo kikuu wanashikwa mkono.
 
Chuo kinaitwa Magamba what did u expect?jina linafanana na policy mpya ya chama tawala "kujivua gamba", kabla hatujapoteza nguvu zetu kukijadili naomba nijuze wanatoa nini? cheti?diploma? shahada?au
 
Back
Top Bottom