Sir R
JF-Expert Member
- Oct 23, 2009
- 2,175
- 300
Wanachama wa CCM vyuo vikuu, msingepata elimu hiyo mgekuwa watu wa namna gani ? Pamoja na kuwa na elimu ya chuo kikuu bado mnashabikia mafisadi ndani nchi hii.
Uwepo wenu hapa Tz hauna mantiki maana mnaturudisha katika mateso ya umasikini. Heri msingesoma kabisa, mnadhalisha vyuo vyetu..
Elimu kwenu haina maana, haiwasidii kujuu ukweli zaidi ushabiki wa kifisadi. Hakuna heshima kwenu , ni aibu tu. Heri watoto wa primary school kuliko anayejiita UVCCM chuo kikuu.
Akili huongoza mwili na siyo mwili kuongoza akili.