mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Masikini Tanzania na Watanzania!
Aibu sana kuwa na kizazi cha aina hii kisichokuwa na uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo! Yaani wamepewa hizo tshirts, wanaona tayari wamemaliza. Halafu baada ya kuhitimu masomo yao, wanaanza tena kulalamika hawana ajira!Maelfu ya wanavyuo wa Kampeni ya Mama Asemewe kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wamefanya matembezi maalum kwa ajili ya kuweka maazimio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Matembezi hayo yamefanyika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama asemewe ya Ndg. Geofrey Kiliba, yakihusisha wanachama wa kampeni hiyo wanaounga mkono juhudi za maendeleo za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza baada ya matembezi hayo, Ndg. Geofrey Kiliba amesema kuwa lengo ni kuonyesha mshikamano wa wanavyuo katika kuchagiza maendeleo ya taifa na kuandaa mikakati ya kuhakikisha vijana wasomi wanashiriki kikamilifu kwenye uchaguzi ujao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Tunatambua mchango wa vijana katika ustawi wa nchi yetu, na kupitia Kampeni ya Mama Asemewe tunajipanga kuhakikisha tunashiriki kikamilifu katika kujenga Tanzania yenye maendeleo endelevu chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan” alisema Kiliba.
Katika maazimio yao, wanavyuo wameeleza dhamira ya kushiriki kwa wingi katika mchakato wa uchaguzi, kuhakikisha ushiriki wa vijana unakuwa na nguvu, na kuendelea kueneza uelewa kuhusu sera na mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita.
View attachment 3287162View attachment 3287163
Mnaedit sana had mnaharibuMaelfu ya wanavyuo wa Kampeni ya Mama Asemewe kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wamefanya matembezi maalum kwa ajili ya kuweka maazimio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Matembezi hayo yamefanyika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama asemewe ya Ndg. Geofrey Kiliba, yakihusisha wanachama wa kampeni hiyo wanaounga mkono juhudi za maendeleo za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza baada ya matembezi hayo, Ndg. Geofrey Kiliba amesema kuwa lengo ni kuonyesha mshikamano wa wanavyuo katika kuchagiza maendeleo ya taifa na kuandaa mikakati ya kuhakikisha vijana wasomi wanashiriki kikamilifu kwenye uchaguzi ujao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Tunatambua mchango wa vijana katika ustawi wa nchi yetu, na kupitia Kampeni ya Mama Asemewe tunajipanga kuhakikisha tunashiriki kikamilifu katika kujenga Tanzania yenye maendeleo endelevu chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan” alisema Kiliba.
Katika maazimio yao, wanavyuo wameeleza dhamira ya kushiriki kwa wingi katika mchakato wa uchaguzi, kuhakikisha ushiriki wa vijana unakuwa na nguvu, na kuendelea kueneza uelewa kuhusu sera na mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita.
View attachment 3287162View attachment 3287163
Waambie ukweli Hawa machawa uchwara!Wakipata sapu wasianze kusumbua walimu. Muda wa kusoma wanaenda kuramba viatu vya wanasiasa.
Wakiambiwa waende VETA wanapiga mayowe wakati hii elimu ya chuo haijawatoa ujinga kama huu upuuzi wanaofanya. Pumbavu kabisa.Maelfu ya wanavyuo wa Kampeni ya Mama Asemewe kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wamefanya matembezi maalum kwa ajili ya kuweka maazimio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Matembezi hayo yamefanyika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama asemewe ya Ndg. Geofrey Kiliba, yakihusisha wanachama wa kampeni hiyo wanaounga mkono juhudi za maendeleo za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza baada ya matembezi hayo, Ndg. Geofrey Kiliba amesema kuwa lengo ni kuonyesha mshikamano wa wanavyuo katika kuchagiza maendeleo ya taifa na kuandaa mikakati ya kuhakikisha vijana wasomi wanashiriki kikamilifu kwenye uchaguzi ujao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Tunatambua mchango wa vijana katika ustawi wa nchi yetu, na kupitia Kampeni ya Mama Asemewe tunajipanga kuhakikisha tunashiriki kikamilifu katika kujenga Tanzania yenye maendeleo endelevu chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan” alisema Kiliba.
Katika maazimio yao, wanavyuo wameeleza dhamira ya kushiriki kwa wingi katika mchakato wa uchaguzi, kuhakikisha ushiriki wa vijana unakuwa na nguvu, na kuendelea kueneza uelewa kuhusu sera na mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita.
View attachment 3287162View attachment 3287163
Wanajua kama baada ya chuo wanaenda VETA? Halafu yanatia hurumaMaelfu ya wanavyuo wa Kampeni ya Mama Asemewe kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wamefanya matembezi maalum kwa ajili ya kuweka maazimio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Matembezi hayo yamefanyika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama asemewe ya Ndg. Geofrey Kiliba, yakihusisha wanachama wa kampeni hiyo wanaounga mkono juhudi za maendeleo za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza baada ya matembezi hayo, Ndg. Geofrey Kiliba amesema kuwa lengo ni kuonyesha mshikamano wa wanavyuo katika kuchagiza maendeleo ya taifa na kuandaa mikakati ya kuhakikisha vijana wasomi wanashiriki kikamilifu kwenye uchaguzi ujao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Tunatambua mchango wa vijana katika ustawi wa nchi yetu, na kupitia Kampeni ya Mama Asemewe tunajipanga kuhakikisha tunashiriki kikamilifu katika kujenga Tanzania yenye maendeleo endelevu chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan” alisema Kiliba.
Katika maazimio yao, wanavyuo wameeleza dhamira ya kushiriki kwa wingi katika mchakato wa uchaguzi, kuhakikisha ushiriki wa vijana unakuwa na nguvu, na kuendelea kueneza uelewa kuhusu sera na mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita.
View attachment 3287162View attachment 3287163
Sisi tupo huku veta tunawasubiri baada ya uchaguzi.Maelfu ya wanavyuo wa Kampeni ya Mama Asemewe kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wamefanya matembezi maalum kwa ajili ya kuweka maazimio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Matembezi hayo yamefanyika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama asemewe ya Ndg. Geofrey Kiliba, yakihusisha wanachama wa kampeni hiyo wanaounga mkono juhudi za maendeleo za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza baada ya matembezi hayo, Ndg. Geofrey Kiliba amesema kuwa lengo ni kuonyesha mshikamano wa wanavyuo katika kuchagiza maendeleo ya taifa na kuandaa mikakati ya kuhakikisha vijana wasomi wanashiriki kikamilifu kwenye uchaguzi ujao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Tunatambua mchango wa vijana katika ustawi wa nchi yetu, na kupitia Kampeni ya Mama Asemewe tunajipanga kuhakikisha tunashiriki kikamilifu katika kujenga Tanzania yenye maendeleo endelevu chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan” alisema Kiliba.
Katika maazimio yao, wanavyuo wameeleza dhamira ya kushiriki kwa wingi katika mchakato wa uchaguzi, kuhakikisha ushiriki wa vijana unakuwa na nguvu, na kuendelea kueneza uelewa kuhusu sera na mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita.
View attachment 3287162View attachment 3287163
Ndugu yangu hili jina la chawa limebeba roho fulani,afadhari kiroboto anajua kujirusha.Hao Vijana wanahitaji waelimishwe zaidi..BADO